Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Kuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya Tanzania...
Kama wanaweza basi waprevent nenda google kasome controversy ya September 11 ujue strategy za hawa Amerika. 🐷
 
Nakumbuka alert kama hizi kule Kenya, halafu wakashambulia supermarket ile maarufu, na chuo kikuu kimoja.

Serikali ianze kukagua maduka na ofisi zote zilizopo kwenye supermarkets kubwa. Kule Kenya walipanga kwenye supermarket, kumbe wakawa wanahifadhi humo silaha.

Serikali iombe usaidizi kwa US na Kenya maana wote wana uzoefu na mambo haya.
 
Hivi kama hawa jamaa huwa wanajua kuna dalili ya ugaidi, kwanini huwa hawatuambii hivyo vitisho vitatokea wapi ili vikamalizwe huko huko, kuliko wanavyofanya kutoa tahadhari pekee na kutuacha njia panda?
Mkuu hii ni taarifa ya wazi kwa kila mtu hasa raia wao, serikali hupewa taarifa ya kina.
Uamuzi unabaki kwetu kuamini au kutoamini.
 
Unareport ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.

20230125_213549.jpg
 
Back
Top Bottom