Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mkuu umepangiwa wilaya gani katika mkeka wa mama wa leo? Au umebakishwa katika nafasi yako hii hii ya posho 7?Sasa Chadema mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikaliView attachment 2495531