Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Hivi kutafsiri lugha ya kiingereza ni shida kumbe. Kama wanajua wanasubiri kuwakamata hao magaidi?

Hapo wanatoa tu tahadhari ya jumla, na inaweza kuapply kwa nchi yeyote, hiyo tarehi ni tarehe ya kutoa tangazo
 
Usalama wa taifa letu ni jukumu letu sote, tuonapo viashiria visivyo vya kawaida tutoe taarifa haraka.
Hao walipuaji kwa vyovyote Tupo nao mitaani aidha wamehifadhiwa kwenye majumba yetu, jirani mwema mara uonapo harakati zisizo za kawaida toa taarifa.
 
Ubalozi wa Marekani Nchi Tanzania umeonya juu ya kuwepo viashiria vya Shambulio la Kigaidi katika maeneo mbalimbali yanayotembelewa zaidi na Raia wa Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani

Maeneo yaliyotajwa kuwa kwenye mipango ya kushambuliwa na Vikundi vya Ugaidi ni pamoja na Hoteli, Balozi mbalimbali, Maduka makubwa na Masoko, Vituo vya Polisi na Misikiti.

View attachment 2495591

Makanisa je?
 
Kuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya TZ.

Chukua bajet ya ulinzi ya UK, France, Russia, Italy, German n.k ukijumlisha kwa pamoja, hawafiki nusu ya bajeti ya ulinzi ya US.

Kaka we muuliza 100 mara 0 ngapi!
Hawajui, anajua akiamka na maharage na maandazi basi
 
Tangazo linatoa tahadhari sehemu ambapo Kuna mkusanyiko wa watu wa mataifa (wazungu) kuwa wanaweza kuvamiwa na magaidi. Iyo yako sijui umetoa wap mkuu
Wazungu siyo watu? Na watashambuliwa wakiwa kwao New york?

Kipindi cha Magu wakati wanatoa tahadhari kama hii, mlipuuzia pia. Gaidi Hamza akafanya yake.
 
Mbona haya matangazo Huwa yapo tu, kikubwa ni kuchukua tahadhari kama wewe ni mzungu au unatembelea maeneo yenye interest na magaidi. Au kutoa taarifa ukona watu hawasomeki. Sasa sijui unatoa Embassy au polisi. Kwani Polisi wanazungumziaje Hilo tangazo
Uko sahihi kabisa. Vyombo vya ulinzi visichukulie simple. Maana hawachelewi kusema watashambuliwa wazungu tu, Watanzania wengine haiwahusu [emoji2960]
 
Back
Top Bottom