Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mkuu umepangiwa wilaya gani katika mkeka wa mama wa leo? Au umebakishwa katika nafasi yako hii hii ya posho 7?Sasa Chadema mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikaliView attachment 2495531
OK asanteUbalozi wa Marekani unasema tuwe makini na mashambulio ya kigaidi, hayo makundi ya kigaidi yanaweza kushambulia kwa kutoa onyo dogo au wasitoe kabisa, wanadai kuna dalili Dsm au maeneo mengine ya Tanzania yakashambuliwa na magaidi, maeneo hayo yanayoweza kushambuliwa ni kama hoteli, balozi, migahawa na masoko.
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwi Kwi KwiTuzuie mikusanyiko kwa muda
Mapokezi yamepita salama na kwa mafanikio makubwaSasa Chadema mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikaliView attachment 2495531
Mpaka liniTuzuie mikusanyiko kwa muda
Ndugu chinyeeembe,kwani uummoja ya wanufaika wa yale mazuri haramu,,🤔Sasa Chadema mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikaliView attachment 2495531
Basi alert ni ya sehemu zinazopendwa kutembelewa na foreigners,mikutano ya chadema huwa na foreigners ?Naifahamu kwa kina
Mpaka liniTuzuie mikusanyiko kwa muda
Baadhi ya info wanazopata hazipo directly kwamba ni sehemu gani,nadhani huwa wanafikia hivi kwa kusoma matendo ya watu wanaowafuatilia au informer wao walio huko kwa maadui huwapa hints na hao informer hawapewi info zote hukoHivi kama hawa jamaa huwa wanajua kuna dalili ya ugaidi, kwanini huwa hawatuambii hivyo vitisho vitatokea wapi ili vikamalizwe huko huko, kuliko wanavyofanya kutoa tahadhari pekee na kutuacha njia panda?
Kwani ni libaya😎Jmn mnaojua kingereza tutafsirien kuna hali ya hatari au!! [emoji849]naona neno terrorist hapo!
Mbona hiki unachokiuliza kimeelezwa hapo!Hivi kama hawa jamaa huwa wanajua kuna dalili ya ugaidi, kwanini huwa hawatuambii hivyo vitisho vitatokea wapi ili vikamalizwe huko huko, kuliko wanavyofanya kutoa tahadhari pekee na kutuacha njia panda?