Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

We are no longer in the Unipolar Sphere of influence; actually, We are in Multipolar sphere.
===
The noise of frogs in pond won't prohibit the elephant to drink water..
you know what frog I am talking about... Ha ha haaaa!!!
 
Umenena vema juu ya Trump na Boris. Lakini inaonekana umechanganyikiwa, huelewi unapinga nini na unakubali nini. Uliyoyaeleza yanadhihirisha demokrasia ilivyokomaa katika mataifa hayo kiasi cha vyombo vingine vya kitaifa kuwa na uwezo na uhuru wa kutenda dhidi ya kiongozi mkuu.

Hapa kwetu unaweza kumshtaki Rais kwa kukiuka katiba? Uingereza walimshataki Boris mahakamani, na mahakama ikaamua. US bunge linajamjadili Trump. Hapa kwetu Rais amekuwa Mungu - haulizwi, hapingwi, hashtakiwi wala kuadhibiwa.
 
Tanzania vote irregular, lacked credibility: US, UK

(AFP Photo/Ericky BONIPHACE)
Dar es Salaam (AFP) - The US and Britain on Wednesday expressed concern over elections in Tanzania where strongman President John Magufuli's party won 99 percent of seats, saying the vote lacked credibility.
The long-ruling CCM party ran almost entirely unopposed in local government polls on November 24.
The opposition boycotted, citing violence and intimidation that rights groups say have become a hallmark of Magufuli's rule.

His party clinched most of the 16,000 seats for street and village leaders -- influential posts essential for grassroots campaigning ahead of polls next year in which Magufuli is expected to seek re-election.
Chadema, the main opposition party, refused to take part, saying its candidates were fearful or disqualified from running by stringent rules used to block them.

Five smaller parties also joined the boycott.
Washington and London said the East African country's refusal to provide accreditation to respected election monitors ahead of the poll eroded confidence in the outcome.
"This troubling development calls into question the credibility of the election process and results," the US embassy in Tanzania said in a statement.

Britain's High Commissioner to Tanzania, Sarah Cooke, said in a statement that the "coordinated" disqualification of opposition candidates contributed toward voters being denied their right to choose their own leaders freely and fairly.
Magufuli on Tuesday congratulated his party on the victory and said the opposition's decision not to participate in the poll was an act of free will.

"Boycotting an election is also democratic," he told a rally in the northwestern Shinyanga region.
The ruling party's secretary general Bashiru Ally, speaking at a separate rally Tuesday, said the landslide win was proof "people still have confidence in the CCM".

The opposition has faced increasing hostility under Magufuli, who was elected in 2015 on promises to crack down on corruption but whose tenure has been marred by attacks on his critics and the press.
Once a beacon of stability in the region, Tanzania fell 25 places this year on Reporters Without Borders' press freedom index.

Britain and the US have raised concerns over Tanzania's trajectory in the past, pointing in particular to abuses of due process in cases involving government critics.
Erick Kabendera, a prominent journalist known for his unflinching coverage of Magufuli, was arrested in July and charged in a case that rights group say is politically motivated. A court in November postponed his trial for organised crime and financial offences for an eighth time.

10 hours ago
Let me see if I understand this. We have the US where the president is attempting to avoid impeachment after the Muller investigation. A president that told his supporters to KO a protester and he would pay for it. A president that has refused to release information about himself, like every president before him, goes on massive twitter rants, attempted to interfere in an election that will occur in 3 short months and has driven prices up via various trade wars.

Then we have great Britain where the Prime Minister has suspended parliament to keep them from reaching a Brexit deal.

These are the countries stating concerns over election results in Tanzania? This is not about right or wrong, this propaganda is clearly intended to further some other goal. As I understand it, Tanzania is one of the few African nations that will not simply accept the mandates of other nations in an effort to protect its people. There may be corruption, but it is not on the level that we have in the US where nothing is actually what it seems. No one tells the US of UK how to govern (you get sanctioned for that or worse). perhaps its best to accept the fact that US and UK sensibilities shouldn't be forced on the rest of the world and let other countries govern themselves and their processes.

13 hours ago
Literally, nobody cares. It can sink into the earth. No impact on civilization at all.

12 hours ago
Magufuli is a new Dictator around the block, trained by the notorious Paul Kagame. These are all potential ICC candidates. Magufuli is becoming a ruthless dictator that can not relinquish power, he is going nowhere anytime soon unless he dies because he knows the aftermath. He will simply rot in Jail. By the way the so called world police, UK and US must not let this idiot continue to kidnap and kill his own people.
 
Waingereza msitupangie bhana. muda wenu wa kuitawala dunia ulishapita, hangaikeni na Brexit yenu kwanza. kama mko safi kwanini ilimgharimu uwaziri mkuu wa Bi. Theresa na sasa joto la kisiasa kwa Borris mbona linampanda kila uchao!!

mmezidi kutuonea gere na SGR zetu, ndege zetu, mibarabara nchi nzima, ma Flyover na sasa mnaokoteza hoja za uchaguzi.

kama mnatupenda si muitetee ndege yetu itoke Canada ndio tuelewe sio unafiki wenu.

sisi tunapiga kazi. kama mnataka mtutawale kwa njia ya vijimisaada, kaeni navyo.

HAPA KAZI TU!
 
Kwa Akili za Mwenyekiti Wao, hachelewi Kuropoka Kuwa Hauwahusu. Atambue Muda wowote tunaweza wekewa Vikwazo ndipo ataelewa wanahusika au lah!
Na hapo ndipo utakula, majani. mmebanwa kidogo mmekosa kupiga madili kelele kibao. vivkwazo vikiwekwa sindio mtakufa kabisa
 
Muda uliokubaliana nao kwenye misaada yao ndio muda huohuo ulikubali automatically kuwa watakuwa wanakufuatilia kwenye mambo yako ya ndani.

Kama unaubavu funga balozi zao kataa misaada yao na hutoona hizo releases.
Hivi hujui kuwa Serikali ilikataa ufadhili wa mabeberu kwenye uchaguzi?
 
the truecaller,
Umeandika chuki sababu ni mnufaika, chanzo cha Waafrika kusambaratishwa au kuchonganishwa ni watawala wa kiafrika, awawaunganishi watu wao wanawanyima haki watu wasioupande wao. Jiulize kwanini nchi za ulaya mbona awapigani sababu viongozi wao wanaunganisha watu wao wanawatendea haki watu wao.

Matatizo ya Africa yanasababishwa na waafrika wengine, wakati Ghadafi anapigwa hao umoja Wa Africa walikuwa likizo? Kushindwa kwetu tusiwatupie wengine.
 
Chukueni hatua na nyie US bwana!

Nikuulize tu kama una akil timamu hivi we ni mtanzania kwel ambae umekulia na kulelewa katika amani pasi kuijua sauti ya risasi na vilio vya watu wakizililia nafsi zao acha kua mchochezi mkuu penye aman pana mafanikio acha kua kibaraka wa uvunjifu wa aman nnchini kwa maslahi ya watu wachache...
 
Nikuulize tu kama una akil timamu hivi we ni mtanzania kwel ambae umekulia na kulelewa katika amani pasi kuijua sauti ya risasi na vilio vya watu wakizililia nafsi zao acha kua mchochezi mkuu penye aman pana mafanikio acha kua kibaraka wa uvunjifu wa aman nnchini kwa maslahi ya watu wachache...
Nadhani neno amani hujui maana yake ndiyo maana unasema aache uchochezi wakati sijaona uchochezi wowote hapo.
 
Back
Top Bottom