Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
Lao moja na wapinzani kulaani tu.Eti jamani .mara waseme wametiwa hofu mara wamesikitishwa jaman tumechoka na misemo yao..huu mwaka unaishia statement zao ni hizo hizo tu khaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lao moja na wapinzani kulaani tu.Eti jamani .mara waseme wametiwa hofu mara wamesikitishwa jaman tumechoka na misemo yao..huu mwaka unaishia statement zao ni hizo hizo tu khaa!
Ni sawa na mume kukunyanyasa kisa unaishi kwenye nyumba ya ghorofaKuhitaji maendeleo sio kigezo cha kufanyiwa hujuma. Si vibaya tukaenda kwenye angle wanayotupeleka watawala.
Kiwango cha lami cha unafiki.Utashangaa Wanaitwa Mabeberu wakati wakitoa misaada wanaitwa washirika wa maendeleo.
Kazi gani iliyowaleta?Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Na mimi nakupenda Manegelo[emoji8]Kwann unanipa mavyeo ya ajabu ajabu[emoji848]!nipe hela mm napenda helaa
Atasema hivi" hawa ni mabeberu tuwapuuze tu"Tusubiri povu la Kabudi
Na hapo ndipo utakula, majani. mmebanwa kidogo mmekosa kupiga madili kelele kibao. vivkwazo vikiwekwa sindio mtakufa kabisaKwa Akili za Mwenyekiti Wao, hachelewi Kuropoka Kuwa Hauwahusu. Atambue Muda wowote tunaweza wekewa Vikwazo ndipo ataelewa wanahusika au lah!
Hivi hujui kuwa Serikali ilikataa ufadhili wa mabeberu kwenye uchaguzi?Muda uliokubaliana nao kwenye misaada yao ndio muda huohuo ulikubali automatically kuwa watakuwa wanakufuatilia kwenye mambo yako ya ndani.
Kama unaubavu funga balozi zao kataa misaada yao na hutoona hizo releases.
Chukueni hatua na nyie US bwana!
Kweli tajiri hasemwiYani unatumia mpaka kondom zao achilia mbali iphone anayotumia jiwe alafu unasema waache kuingilia nchi yenu?
Nadhani kile ufikiriacho si kilie mwenzio anafikiria shida kwa nini demokrasi iwe shida kisingizio kazi tu kwani tangia zamani watu walikuwa hawafanyi kazi?Mabeberu yamekasirika! View attachment 1274250
Nadhani neno amani hujui maana yake ndiyo maana unasema aache uchochezi wakati sijaona uchochezi wowote hapo.Nikuulize tu kama una akil timamu hivi we ni mtanzania kwel ambae umekulia na kulelewa katika amani pasi kuijua sauti ya risasi na vilio vya watu wakizililia nafsi zao acha kua mchochezi mkuu penye aman pana mafanikio acha kua kibaraka wa uvunjifu wa aman nnchini kwa maslahi ya watu wachache...