Wapuuzi tu hao, waende wakahangaikie Nchi yao kwanza.
Hao raia wao hakuna aliyewalazimisha waishi Tanzania, wakitaka waende kuishi Kenya ambako kila kukicha kuna matakwimu yasioeleweka.
Pia sisi ndiyo tunaowapa mikopo na misaada ya fedha kupitia TAAID au TMCC
Naomba niongeze na kukuziaPia mawaziri Mkuchika, Hussein Mwinyi na mke wa kigogo mmoja wanapambana na hali zao hukoo. Pia wanasahau kuwa Rwanda juzi imeripoti kifo cha kwanza cha COVID 19 na jamaa alikimbia kutoka Tanzania baada ya kukosa huduma hospitalini.
Marekani kule kwake saa hii moto unawaka,Nchi yako ina matatizo milioni kadhaa kuliko ya kwao.
40% unemployment In developed country and the largest economy in the world haupo serious labda unataka kuwadanganya illiterate people. Huo uchumi wanaujengaje Kwa sasa Acha kuimba mapambio ya kwaya40% ya wamarekani weupe hawana ajira
Endeleeni kuwalamba viatu hao wauaji
Wazungu watakuja kukufanya mbaya. Nashangaa Chadema mnawapenda sana.
Joined May 21 2020We wazungu walishakufanya nini? Ipo siku watakuharibu utashindwa kwenda hata ufipa.
usiende mbali, hapa Zanzibar pekee ambapo taarifa zilikuwa walau ni za uwazi zaidi ukilinganisha na Tanganyika..... hadi tarehe 7 May kulikuwa na maambukizi ya watu 134.
Zanzibar inakadiriwa population ya watu 1.5M wakati Tanganyika ni watu approx 55M.
kwa hesabu ndogo tu, maambukizi Tanganyika hadi kufikia tarehe hiyo yatakuwa yalikuwa yamefikia zaidi ya 4,900.
wakati huo Kenya walikuwa 500 tu.
wacha mabeberu watutenge hadi tunyooke hakuna namna!
Wewe ni mwanafamilia au daktari unajua mtu ambaye huna mahusinao naye yoyote kujua amekufa kwa nini, una medical reports, utuonyeshe kudhibitisha kauli yakoPale Aghakan leo pametoa maiti moja ya mtu mashuhuri ya COVID 19. Nyie endeleeni kudanganyana.
Basi weka kabisa na death certificate tuone chanzo cha kifo maana kuna watu hamna ustaarabu kabisa na privacy za watu.
Nihakikishie kama sitajulikana nitaje marehemu wawili waliokufa kwa corona maeneo fulani huko kwetu KahamaPale Aghakan leo pametoa maiti moja ya mtu mashuhuri ya COVID 19. Nyie endeleeni kudanganyana.
China walifanya lockdown.Mambo hayaendi hivyo ndugu, basi pigia sahivi China watu bilion 3 maambukizi yamefika ngapi?
Wewe pungu1 umaskini wa Wamarekani unaweza kuulinganisha na ufukara uliopo Tz? Hizo ni shule za msingi za Serikali Botswana wakijiandaa na ufunguzi wa shule baada ya kudhibiti kwa lockdown maambukizi ya CoronaNawashangaa nyie mnaowatukuza hao wauaji kumbe hata wao wanapigika tu na maisha