Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Endeleeni kuficha ila uzuri wa hili gonjwa linawatafuta hao hao wanao dharau ndio linapiga
Wapuuzi tu hao, waende wakahangaikie Nchi yao kwanza.

Hao raia wao hakuna aliyewalazimisha waishi Tanzania, wakitaka waende kuishi Kenya ambako kila kukicha kuna matakwimu yasioeleweka.
 
Pia mawaziri Mkuchika, Hussein Mwinyi na mke wa kigogo mmoja wanapambana na hali zao hukoo. Pia wanasahau kuwa Rwanda juzi imeripoti kifo cha kwanza cha COVID 19 na jamaa alikimbia kutoka Tanzania baada ya kukosa huduma hospitalini.
Naomba niongeze na kukuzia

Mkuchika
Hussein Mwinyi
Shonza
Mavunde
Mrisho Mpoto
Msukuma(Mb wa Geita)
Hao wawili wa mwanzo hata kwenye baraza la mawaziri hatukuwaona
 
Corona zetu haziwahusu. Tunasema tunazo bado ila idadi yake haziwahusu. Kama wanadhani tunazo nyingi kuliko za kwao si warudi tu kwao.
 
Hao wana stress za maisha ya kwao huko hakukaliki
Wanatakiwa watupe alert kwamba marekani kwa sasa si nchi salama kwenda,unaweza kupigwa kabali ya goti mpaka ukafa kama kuku
 
hawa watu mataifa huko kwao maji yako shingoni juzi Iran kapeleka mafuta kibabe Venezuela, bado mtiti wa maandamano unaendelea, covid-19 malaika mtoa roho kaweka kambi nyumbani kwao halafu anatutolea macho Tanzania au sisi ndio vibonde wao!!
 
Nchi yako ina matatizo milioni kadhaa kuliko ya kwao.
Marekani kule kwake saa hii moto unawaka,
Maamdamano na corona.
Na hivi aliwalock watu lakini wametoka kuamdamana nchi nzima subiri ngoma itadabo soon.
 
40% ya wamarekani weupe hawana ajira

Endeleeni kuwalamba viatu hao wauaji
40% unemployment In developed country and the largest economy in the world haupo serious labda unataka kuwadanganya illiterate people. Huo uchumi wanaujengaje Kwa sasa Acha kuimba mapambio ya kwaya
 
usiende mbali, hapa Zanzibar pekee ambapo taarifa zilikuwa walau ni za uwazi zaidi ukilinganisha na Tanganyika..... hadi tarehe 7 May kulikuwa na maambukizi ya watu 134.

Zanzibar inakadiriwa population ya watu 1.5M wakati Tanganyika ni watu approx 55M.
kwa hesabu ndogo tu, maambukizi Tanganyika hadi kufikia tarehe hiyo yatakuwa yalikuwa yamefikia zaidi ya 4,900.
wakati huo Kenya walikuwa 500 tu.

wacha mabeberu watutenge hadi tunyooke hakuna namna!

Mambo hayaendi hivyo ndugu, basi pigia sahivi China watu bilion 3 maambukizi yamefika ngapi?
 
Pale Aghakan leo pametoa maiti moja ya mtu mashuhuri ya COVID 19. Nyie endeleeni kudanganyana.
Wewe ni mwanafamilia au daktari unajua mtu ambaye huna mahusinao naye yoyote kujua amekufa kwa nini, una medical reports, utuonyeshe kudhibitisha kauli yako
 
Ili iweje amefariki na familia nzima walipata ila watoto wamepona,mke yuko icu
Basi weka kabisa na death certificate tuone chanzo cha kifo maana kuna watu hamna ustaarabu kabisa na privacy za watu.
 
Pale Aghakan leo pametoa maiti moja ya mtu mashuhuri ya COVID 19. Nyie endeleeni kudanganyana.
Nihakikishie kama sitajulikana nitaje marehemu wawili waliokufa kwa corona maeneo fulani huko kwetu Kahama
 
Nawashangaa nyie mnaowatukuza hao wauaji kumbe hata wao wanapigika tu na maisha
Wewe pungu1 umaskini wa Wamarekani unaweza kuulinganisha na ufukara uliopo Tz? Hizo ni shule za msingi za Serikali Botswana wakijiandaa na ufunguzi wa shule baada ya kudhibiti kwa lockdown maambukizi ya Corona
FB_IMG_1591126034507.jpeg
FB_IMG_1591126024562.jpeg
FB_IMG_1591126004282.jpeg
 
Back
Top Bottom