Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Nchi yao imewashinda,maandamano kila sehemu wamebaki kudandia ya wengine,anguko la marekani liko karibu.
 
Corona ingekuwa ishu kihivo wamarekani wasingekuwa mabarabarani wanaandamana kucha kutwa
 
Jamani! Hata kama ni covid19 mbn walala nawaona wapo cku zte? Hii corona naona nikamchezo2 hakuna cha korona namuunga mkona jpm 100%.
 
69C09A5E-33FB-4D43-8011-A5AE93C78313.jpeg
 
Chanzo cha habari
Pia mawaziri Mkuchika, Hussein Mwinyi na mke wa kigogo mmoja wanapambana na hali zao hukoo. Pia wanasahau kuwa Rwanda juzi imeripoti kifo cha kwanza cha COVID 19 na jamaa alikimbia kutoka Tanzania baada ya kukosa huduma hospitalini.
 
Na wewe ndiye uliyewapima [emoji848]
Kama hujui kitu kwa undani si uombe uambiwe? Yule kalazwa pale wiki 3 na ishu kubwa ilikuwa Corona. Pia familia yake yote iliugua na mkewe kalazwa.
 
Corona ipo hata sisi hapo kwetu Mbeya jirani yetu kafariki kwa corona akiwa anamuuguza mkewe ambaye alikuwa anaumwa corona akamwambukiza mumewe na ndugu wawili, shida sasa hupokewi hospitalini au unapewa huduma hafifu sana na wanakupa ushauri kuwa ukajitibie nyumbani kama huko kuna wataalamu wa kutibu hatari.
 
Hiyo ndio USA.
Hawana cha kuogopa wala kukwepesha.
Hapo wanasisitiza kuwa COVID ipo na inatikisa vizuri tu Tz.

Wamerekani siyo majuha kama walivo wengi wa Wanasiasa wetu wa
Tanzania. Balozi ni mwakilishi wa nchi yake na anahaki ya kusema Ukweli kwa ajili ya Raia wa Merekani wanaotaka kuja Tanzania!
Balozi wa Marekeni anaishi Dar anajua mitaa mingi tu na hospitali nyingi......na Kama Marekani ana intellijensia yake na hivo anaijua Tanzania vilivo.....!!!
 
Corona ipo hata sisi hapo kwetu Mbeya jirani yetu kafariki kwa corona akiwa anamuuguza mkewe ambaye alikuwa anaumwa corona akamwambukiza mumewe na ndugu wawili, shida sasa hupokewi hospitalini au unapewa huduma hafifu sana na wanakupa ushauri kuwa ukajitibie nyumbani kama huko kuna wataalamu wa kutibu hatari.

Taarifa za Covid-19 zinafichwa au kuzimwa kwa watu kulazimishwa kujitibia home kwa KUPIGA NYUNGU na KUFUKIZA....!! Nyungu na Fukiza zikigoma ujue unaondoka.....kumbuka yule mama Wakili aliyeacha ujumbe wa....."HEWA HAITOSHI" HIVO ALISHINDWA KUJIPIGANIA mwenyewe kupambana na Covid-19 kwa nyungu...!!!!
 
Back
Top Bottom