Maige Chagu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 237
- 245
Nchi yao imewashinda,maandamano kila sehemu wamebaki kudandia ya wengine,anguko la marekani liko karibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wabariki WazunguWamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
View attachment 1466746
Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
View attachment 1466746
Pale Aghakan leo pametoa maiti moja ya mtu mashuhuri ya COVID 19. Nyie endeleeni kudanganyana.
Mmiliki wa Marangu Coach huyo kavuta jana usiku,mkewe bado yupo kwenye Ventilator hapo hapo Aghakan.View attachment 1466768
Pia mawaziri Mkuchika, Hussein Mwinyi na mke wa kigogo mmoja wanapambana na hali zao hukoo. Pia wanasahau kuwa Rwanda juzi imeripoti kifo cha kwanza cha COVID 19 na jamaa alikimbia kutoka Tanzania baada ya kukosa huduma hospitalini.
Aiseee!Wapuuzi tu hao Tanzania hakuna corona
nani kasema?Wapuuzi tu hao Tanzania hakuna corona
Watalii wa ulaya wanawapuuza, wameanza kuja..Jamani! Hata kama ni covid19 mbn walala nawaona wapo cku zte? Hii corona naona nikamchezo2 hakuna cha korona namuunga mkona jpm 100%.
Kama hujui kitu kwa undani si uombe uambiwe? Yule kalazwa pale wiki 3 na ishu kubwa ilikuwa Corona. Pia familia yake yote iliugua na mkewe kalazwa.
Mkuu Kwani wanaowekwa kwenye ventilator ni wangonjwa wa corona pekee?Mmiliki wa Marangu Coach huyo kavuta jana usiku,mkewe bado yupo kwenye Ventilator hapo hapo Aghakan.View attachment 1466768
Hiyo ndio USA.
Hawana cha kuogopa wala kukwepesha.
Hapo wanasisitiza kuwa COVID ipo na inatikisa vizuri tu Tz.
Subutu!Safari hii balozi wao yule mjapani ataletwa na pingu mikononi
Corona ipo hata sisi hapo kwetu Mbeya jirani yetu kafariki kwa corona akiwa anamuuguza mkewe ambaye alikuwa anaumwa corona akamwambukiza mumewe na ndugu wawili, shida sasa hupokewi hospitalini au unapewa huduma hafifu sana na wanakupa ushauri kuwa ukajitibie nyumbani kama huko kuna wataalamu wa kutibu hatari.