#COVID19 Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

Watu masikini wa kutupwa mnataka kujilinganisha na wafadhili wenu?
Unajua kuna wakati na wao walikua kama sisi kiteknolojia?

Walipokua hivyo walifanyaje katika kudeal na majanga yaliyokua yakiwakuta? Au hawakua na majanga?

Na je wakikataa kuwafadhili utafanyaje?

Unafikiri ni makosa kuhoji au kutaka kupata maelezo sahihi ya effectiveness ya hizo chanjo eti sababu wewe ni maskini hutakiwi kuhoji???
🙄🙄🙄
 
Ni Bora wafanyeje ili wasifikwe na hiyo Corona?
 
Mimi kwakuwa naheshimu maaagizo ya wataalam,navaa barakoa,naheshimu social distance, nanawa mikono, natumia sanitizer pale inapo bidi.

Nyie endeleeni kupuyanga kwa kudanganywa
Kina nani waendelee? Una uhakika au umejitungia uwongo wako huko kichwani na kujiaminisha!?
 
Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Beberu kageuka malaika mamaeee wakati yeye ndiye ka tengeneza hili Dude.
 
Beberu kageuka malaika mamaeee wakati yeye ndiye ka tengeneza hili Dude
Watupumzishe!

Wacha tufanye taratibu zinavyoagiza huku tukimwomba Mungu.

Tusisahau malimao, Tangawizi, pilipili na kupiga nyungu
 
Watupumzishe!!!!!!
Wacha tufanye taratibu zinavyoagiza huku tukimwomba Mungu
Tusisahau malimao, Tangawizi, pilipili na kupiga nyungu
Beberu sio wa kuamini ata siku moja eti shetani hajawahi kuwa na huruma
 
Hebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.

Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
waandikie barua. malalamishi huku jf hawata yaona.
 
Hapo namuona kuna mtu kanuna anatamani amfukuze hata huyo balozi nchini ila ndio hivyo ubavu huo hana...
 
Waanze kutupatia matokeo ya chanjo kule Marekani tujue je wale waliopatiwa maambukizi kwao yamekoma?
Angalia CNN wanasema case zina shuka katika speed ya kuridhisha sasa sijui ni katika kumuhadaa Trump au vipi?
 
Angalia CNN wanasema case zina shuka katika speed ya kuridhisha sasa sijui ni katika kumuhadaa Trump au vipi?
Hawaaminiki kwangu kama wasivyotuamini sie.... corona yao, vyombo vyao, teknolojia yao, wataalam wa kwao na wanaamua taarifa zao zipi zifikie walimwengu
 
tell american embassy that most of majority Tanzanians have no intention to go to Americav because America is not heaven
Hahaha Kikwetu tunasema Kimfaacho mtu chake

Kwenye hili Tanzania hatuburuzwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…