mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Unajua kuna wakati na wao walikua kama sisi kiteknolojia?Watu masikini wa kutupwa mnataka kujilinganisha na wafadhili wenu?
Walipokua hivyo walifanyaje katika kudeal na majanga yaliyokua yakiwakuta? Au hawakua na majanga?
Na je wakikataa kuwafadhili utafanyaje?
Unafikiri ni makosa kuhoji au kutaka kupata maelezo sahihi ya effectiveness ya hizo chanjo eti sababu wewe ni maskini hutakiwi kuhoji???
🙄🙄🙄