Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni

Kwa hiyo hii hapa ni uzushi au ushuzi?

Bandari haijauzwa na wala hatuwezi kuuza bandari zetu na jambo hilo haliwezi kutokea kamwe hapa Nchini chini ya viongozi wetu wanaotokana na CCM
Wewe Chawa, unasema viongozi wenu hawawezi kuuza kwani ule mkataba wa bandari ya Bagamoyo uliofutwa na Magufuli haukufanywa na viongozi wenu?
Hii ni serikali ya kifisadi ikiongozwa na mama Abdul.😂😂
 
Wewe Chawa, unasema viongozi wenu hawawezi kuuza kwani ule mkataba wa bandari ya Bagamoyo uliofutwa na Magufuli haukufanywa na viongozi wenu?
Hii ni serikali ya kifisadi ikiongozwa na mama Abdul.😂😂
Embu weka hapa huo mkataba uliofutwa
 
Lucas hata wa Arabu unawatetea? Hakuna kitu, wa Arab ni mashetwani Kabisa
 
Wewe kiroboto wa mama Abdul acha uongo , kwanza tarehe 25 February haijafika.

Pili nimetembelea handle ya X ya ubalozi wa Saudia Arabia Tanzania hakuna barua yoyote.
 
Umeisoma hiyo barua na kuielewa au lugha haipandi mdomoni
 
Nani atawaamini waarabu?
 
Mjitahidi kuficha upumbavu wenu hiyo barua ya lumumba imeandikwa tarehe 25 mwrzi feb wewe ulishafika tarehe hiyo hovyo kabisa🚮🚮🚮🚮
 
Mwanzo, wa mvua! Ni, mawingu,kinachofuata!
Ukweli ni kwamba, Samia kauza bagamoyo port kwa wajomba zake Saudia,hawa kenge kilichowakera, ni kuvuja kwa taarifa mapema, hapa wanajifaragua tu, nguruwe poli hawa
 
Acha Ramli zako za kiganga wa kienyeji. Huna ushahidi halafu unapiga mdomo wako hapa
 
Bandari haijauzwa na wala hatuwezi kuuza bandari zetu na jambo hilo haliwezi kutokea kamwe hapa Nchini chini ya viongozi wetu wanaotokana na CCM
Hivi kwamfano, Nimeshindwa kulipa Kwa wakati Deni langu la BANK.
Je, Hawa Bank watanifanya Nini🙄
Hivi Deni linaweza kumfunga Mtu kweli?
Na hata wakinifunga, , , , Siku nikitoka si Deni lao Ndio linakuwa limeishia hapo?
Hebu Nipambanulieni wenzangu, Maana Nataka Nipige mkopo wa Nguvu sehemu Alafu silipi???😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…