Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Kweli, hapo nakuelewa mkuu. Heshima kitu cha muhimu sana duniani. Pia ninachotambua ni kuwa yule mwanadada amesema kuwa sio kweli, picha yake imetumika vibaya pasi yake kuwa na ufahamu. Anadai, hiyo fununu aliiskia kutoka kwa rafikiye, na wala hajui hayo mambo kabisa. So ni propaganda tu za wazee wa 'behind the scenes'.Kosoa lakini acha kutukana. Kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na Tanzania kwa ujumla.