Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

wakuu hii isitupe shida wanawake wa kenya wana hii tabia sana tu ,hata kule kenya mtu maarufu akifa wanakuja wanawake kama wote, kila moja akidai amezaa na marehemu ili tu wapate mgao wa uridhi ,wambieni wamekosea njia hapa hatutoi hela ngo"
 
Watu wanatafuta likes na kick hao, ukiangaika nao ndio unazidi kuwapa mileage
Mkuu, inaweza kukemewa pasipo kutaja jina la mhusika. Leo Rais Magufuli kaandikwa hivi, kesho ikija kutokea kwa Rais Mama Samia itakuwaje?
 
Mkuu, masuala ya sheria za Kenya na udhalilishaji wa viongozi wetu hauna uhusiano kabisa. Ni lazima tuwe wakali linapokuwa suala zima la kulinda heshima yetu kama taifa. This is nonsense.
As long as jambo lenyewe limefanyika kenya, inamaana sheria za kenya ndio zinahusika. My point is pamoja na kukwazwa kwetu, jambo hili haliwezi kuwa handled unavyotaka wewe. Ingekua hapa kwetu Dr.Abbass angekua ameshavifungia au kuviamuru viretract... lakini kwa wenzetu serikali haina hayo mamlaka. Mamlaka hayo yapo kwenye media council na mahakama..so serikali ya kenya sana sana itamsikiliza balozi na kumuelekeza cha kufanya kuendana na sheria zao.
 
As long as jambo lenyewe limefanyika kenya, inamaana sheria za kenya ndio zinahusika. My point is pamoja na kukwazwa kwetu, jambo hili haliwezi kuwa handled unavyotaka wewe.
Ninavyotaka mimi kivipi sasa?
 
serikali ya kenya sana sana itamsikiliza balozi na kumuelekeza cha kufanya kuendana na sheria zao.
Mbona balozi wa Kenya chini Tanzania yupo pia? Anaweza akafikishiwa masikitiko yetu juu ya udhalilishaji huu.
 
Ingekua hapa kwetu Dr.Abbass angekua ameshavifungia au kuviamuru viretract... lakini kwa wenzetu serikali haina hayo mamlaka. Mamlaka hayo yapo kwenye media council na mahakama
Dr. Abbas na watu wa huko Foreign Service wanaweza kufikisha udhalilishaji huu ubalozi wa Kenya hapa Tanzania. Simple...!!!
 
Back
Top Bottom