Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Nimeenda sana Mombasaa kwa hii njia ya TangaMke wangu wa pili anatoka Mombasa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeenda sana Mombasaa kwa hii njia ya TangaMke wangu wa pili anatoka Mombasa....
Ni kweli.... hapa si tulikuwa na Tanzanite, na si uliona hata kina Kinana walipolalamika wakaishia wao kupewa kesiUnaweza kuviita kuwa ni "vijarida" lakini hauwezi kujua "who" is behind those evil projects. Governments all around the world have "shadow communities" and think you know all about this.
Shida ni ushahidi wa uhakika. Where is the concrete evidence?Shida ni urais au ukwel wa jambo?
Tutavunja uhusiano na Kenya kama watashindwa kuheshimu viongozi wetu. We have no time for stupidity.Tanzania haiwezi ipangia Kenya on how its citizens are talking about
Sawa bossAloleta huu uzi ni mwehu
Ni nani aliona ulipokuwa unafanya hivyo kwenye chungu?Unye kweny chungu watu uwalazimishe kukaa kimya
Mkuu, mimi simtetei John Pombe Magufuli bali ninatetea nafasi aliyoibeba kama Rais. Kama Kenya imeweza kumdhalilisha Rais John Magufuli kwanini washindwe kwa Rais Mama Samia Hassan?Hahahaaaa
Hivi mkuu hujatoka tu kwenye hangover ya Magufuli lunatic-thinking and way of living?
That nigga was a borderline lunatic!
Get outta that slumber!
Watukane viongozi wao tu na sio mpaka hawa wetu wa Tanzania. Pasipo Kenya kudhibiti udhalilishaji wa viongozi wetu hakika hatutaki kuwa na E.A.C na wao wala jirani mwingine anayeidharau Tanzania.Na kenya ni nyie yenye demokrasia hadi Uhuru anatukanwa
Cheo cha Rais ni lazima kiheshimiwe pasipo kujali ni chama kipi cha siasa kinaunda serikali.Magufuli alikua anadharaulika kila mahali
Acha kufananisha kile kituko na Samia au Kikwete au yeyote yule aliepita
Hakuna rais aliedharaulika ukiacha Magufuli
The guy hadi mimi mchimba chumvi nilikua namdharau mpaka leo hadi kesho
Jamaa yako alikua bure sana
Hata wewe kuna watu wanakuchukia na wengine wanakupenda. Yeye pia hakuwa Mungu wa kupendwa na kila mtu.Hamtaki kukubali,jamaa lenu linachukiwa na halipendwi,msitulazimishie lile jitu la ajabu
Wewe endelea tu kumchukia Rais wako lakini yatakayokukuta kwenye mkondo wa sheria mimi simoSasa kama kuna wanaomchukia na wanaompenda,kwanini mnang'ang'ania wote tumpende?
Waache wanaomchukia wamchukie,yanini unawalazimisha wampende?
Maana tumekubaliana in principle kwamba watu wa aina zote mbili tupo!
Kwa bahati mbaya sana hii sikuwahi kuisikia mkuutulikuwa na Tanzanite, na si uliona hata kina Kinana walipolalamika wakaishia wao kupewa kesi
Gazeti la Tanzanite la Bwana Musiba kila siku lilikuwa linawatukana kina Kinana na Makamba, mpaka wakaandika barua kuomba akemewe. What was clear ni kwamba kuna wakubwa walikuwa wanamlinda, basically alikuwa "gun for hire". Nakubaliana na wewe, hata hivi "vijarida" inawezekana ni guns for hire; kazi yake ni kuchafua watu huku bado unaweza kukataa kutohusika. Kama tunaona wanazidi, na sisi tunaweza tengeneza vya kwetu.Kwa bahati mbaya sana hii sikuwahi kuisikia mkuu
Labda matunda yenye sumuMti wenye matunda