Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Unaweza kuviita kuwa ni "vijarida" lakini hauwezi kujua "who" is behind those evil projects. Governments all around the world have "shadow communities" and think you know all about this.
Ni kweli.... hapa si tulikuwa na Tanzanite, na si uliona hata kina Kinana walipolalamika wakaishia wao kupewa kesi
 
Hahahaaaa

Hivi mkuu hujatoka tu kwenye hangover ya Magufuli lunatic-thinking and way of living?

That nigga was a borderline lunatic!

Get outta that slumber!
Mkuu, mimi simtetei John Pombe Magufuli bali ninatetea nafasi aliyoibeba kama Rais. Kama Kenya imeweza kumdhalilisha Rais John Magufuli kwanini washindwe kwa Rais Mama Samia Hassan?

Masuala ya nchi hayana siasa za CCM wala CHADEMA. Nchi hii ni mali ya watanzania wote.
 
Na kenya ni nyie yenye demokrasia hadi Uhuru anatukanwa
Watukane viongozi wao tu na sio mpaka hawa wetu wa Tanzania. Pasipo Kenya kudhibiti udhalilishaji wa viongozi wetu hakika hatutaki kuwa na E.A.C na wao wala jirani mwingine anayeidharau Tanzania.
 
Cheo cha Rais ni lazima kiheshimiwe pasipo kujali ni chama kipi cha siasa kinaunda serikali.
 
Sasa kama kuna wanaomchukia na wanaompenda,kwanini mnang'ang'ania wote tumpende?

Waache wanaomchukia wamchukie,yanini unawalazimisha wampende?

Maana tumekubaliana in principle kwamba watu wa aina zote mbili tupo!
Wewe endelea tu kumchukia Rais wako lakini yatakayokukuta kwenye mkondo wa sheria mimi simo
 
Mkuu, kama unataka kumchukia mtu sawa mchukie tu lakini usimtukane
 
Kwa bahati mbaya sana hii sikuwahi kuisikia mkuu
Gazeti la Tanzanite la Bwana Musiba kila siku lilikuwa linawatukana kina Kinana na Makamba, mpaka wakaandika barua kuomba akemewe. What was clear ni kwamba kuna wakubwa walikuwa wanamlinda, basically alikuwa "gun for hire". Nakubaliana na wewe, hata hivi "vijarida" inawezekana ni guns for hire; kazi yake ni kuchafua watu huku bado unaweza kukataa kutohusika. Kama tunaona wanazidi, na sisi tunaweza tengeneza vya kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…