Jiadae kwa kutayarisha documents muhimu za dhamanaEndelea kusikia tu hivyo hivyo
Endelea tu na mimiJiadae kwa kutayarisha documents muhimu za dhamana
PoaWewe ukiwa mkubwa inatosha sana
JiandaeEndelea tu na mimi
Hakuna noma
I seeJiandae
Ipende Tanzania kwanza kisha ndio upende CCM au CHADEMAHakuna noma
SipangiwiIpende Tanzania kwanza kisha ndio upende CCM au CHADEMA
PoaSipangiwi
Hakunaga maswali
Tanzania mbele kwa mbeleIpende Tanzania kwanza kisha ndio upende CCM au CHADEMA
Tutakurudisha kwenu Kenya usifanye maskhara kabisa na sisi.Jiandae
Sasa hivi ninaongea nipo hapa westland pub nakula pilsiner bariiidi.Tutakurudisha kwenu Kenya usifanye maskhara kabisa na sisi.
Tulia mtoto wewe. Hujui lolote kuhusu historia ya Tanganyika wala ZanzibarMbona Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa hawajawahi kusingiziwa; why Magufuli?
Tanzania ni taifa kubwa na halipaswi kuchezewa hata siku moja.Hakunaga maswali
Hivi yule mkulima aliyekuwa anawashika sharubu kwa kuikamata ndege yenu hajui au hakujua kuwa nyie ni taifa kubwa?Tanzania ni taifa kubwa na halipaswi kuchezewa hata siku moja.
Acha kumtisha mwenzio wewe. Nitakukamata wewe ujue?Jiadae kwa kutayarisha documents muhimu za dhamana
Kwa wewe ni haki yako kunikamata maana hakuna mkate mgumu mbele ya chaiAcha kumtisha mwenzio wewe. Nitakukamata wewe ujue?
Hakuna kurudi nyuma na jembe letu ni Rais Samia Hassan.Tanzania mbele kwa mbele
Jamaa hajui kama babu yako ni mganga wa matunguli?Endelea tu na mimi