Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Tanzania ni taifa kubwa na halipaswi kuchezewa hata siku moja.
Hivi yule mkulima aliyekuwa anawashika sharubu kwa kuikamata ndege yenu hajui au hakujua kuwa nyie ni taifa kubwa?

Wacha kuwa mtumwa wa mawazo ya jiwe.
Jiweke huru kwa kutoka kwenye chungu uliko fungiwa.
 
Back
Top Bottom