Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Tanzania taifa kubwa na kamwe hamtaliweza
Mimi siyo mkenya, mimi ni mtanzania ninaeipenda nchi yangu na wananchi wake.
Kutoa maoni mbadala dhidi ya post yako isikufanye ukimbilie kuniona niko against na nchi yangu.
Hii tabia ilikuwepo sana kipindi kifupi nyuma ,,ni mbaya sana, unawaziba watu midomo lakini mawe yanaongea.
 
Lile dubwana lishakufa msitulazimishe tulikumbuke liendelee kuwa kiongozi wa malaika huko mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lilivyoua na kudhalilisha watu hamkuona nyambaf halina legacy yoyote lile kapuuut
 
Lile dubwana lishakufa msitulazimishe tulikumbuke liendelee kuwa kiongozi wa malaika huko mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lilivyoua na kudhalilisha watu hamkuona nyambaf halina legacy yoyote lile kapuuut
Rais wa nchi hawezi kuwa dubwana labda wewe ndio dubwana.
 
ukweli lazma usemwe, mmezzoea kuzuia uhuru wa habari sasa mnatajka kwenda hadi kenya, MATAGA NA SUKUMA GANG MNA SHIDA sana
 
ukweli lazma usemwe, mmezzoea kuzuia uhuru wa habari sasa mnatajka kwenda hadi kenya, MATAGA NA SUKUMA GANG MNA SHIDA sana
Ukweli ni lazima usemwe ukiambatana na ushahidi wa picha pamoja na video. Ukweli bila ushahidi mzito huko ni kuichafua Tanzania yetu.
 
Unaonesha roho ya uoga mbele ya adui mkuu. Acha kuwaogopa hao manyang'au wa Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…