Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Kafungue kesi mahakamani ukathibitishe huko.Haujaona sources nimeweka kama ushahidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafungue kesi mahakamani ukathibitishe huko.Haujaona sources nimeweka kama ushahidi?
NitafunguaKafungue kesi mahakamani ukathibitishe huko.
Tanzania taifa kubwa na kamwe hamtaliwezaWewe una uhuru wa kulifungulia hilo gazeti kesi kutokana na madai yako.
Hizi zingine unafanya porojo.
Naona unawatete sanaKwanini dada Vero?
Siwatetei, ila napenda mjenge utamaduni wa kufata sheria.Naona unawatete sana
Mimi siyo mkenya, mimi ni mtanzania ninaeipenda nchi yangu na wananchi wake.Tanzania taifa kubwa na kamwe hamtaliweza
Mbona Rais Samia anafuata sana sheria.Siwatetei, ila napenda mjenge utamaduni wa kufata sheria.
Ndivyo unavyotakiwa hata wewe.Mbona Rais Samia anafuata sana sheria.
Rais wa nchi hawezi kuwa dubwana labda wewe ndio dubwana.Lile dubwana lishakufa msitulazimishe tulikumbuke liendelee kuwa kiongozi wa malaika huko mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lilivyoua na kudhalilisha watu hamkuona nyambaf halina legacy yoyote lile kapuuut
Rais wa nchi hawezi kuwa dubwana labda wewe ndio dubwana.
Chizi siku zote hajijui kama wewe ila sisi ndio tunakuona kuwa wewe sio mzima kichwaniUzuri mimi sina cheti milembe kama wewe , kichaa pekeyake ndio atafagilia ile kansa narudia tena kwa msisitizo Period.
Tatizo lako Kenya wanakulipa kufanya propaganda chafuSiwatetei, ila napenda mjenge utamaduni wa kufata sheria.
ukweli lazma usemwe, mmezzoea kuzuia uhuru wa habari sasa mnatajka kwenda hadi kenya, MATAGA NA SUKUMA GANG MNA SHIDA sanaHabari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"?
Nimesikitishwa sana na kitendo cha magazeti mengi maarufu nchini Kenya kuokota habari ya isiyo na udhibitisho inayomuhusu mkuu wa nchi yetu (Hata kama ni Hayati kwa sasa) kutoka katika mitandao ya kijamii kisha kuichapisha kwenye "main stream media".
View attachment 1761212
Just imagine leo kuwe na tetesi kuwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Msanii wa Bongo Movie kisha gazeti lenye ushawishi hapa Tanzania kama vile Mwananchi au The Guardian wakaichapisha habari hiyo, hivi italeta picha gani katika familia yake hata jamii ya Wakenya kwa ujumla?
Rais ni raia number moja katika taifa lolote hapa duniani na anapaswa kupewa heshima yake "to the fullest" na sio wa kuandikwa andikwa kwa habari chafu za tetesi kwenye media pasipo kuwa na taarifa kamili.
==========
View attachment 1771703
==========
John Magufuli alikuwa ni Rais, baba pamoja na mume aliye mtiifu kwa wanawe, mkewe pamoja na Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na kamwe asingweza kufanya kitendo kama hiki cha kuidhalilisha ndoa yake pamoja na taifa letu.
Mimi ninashauri ubalozi wa Tanzania nchini Kenya ufikishe masikitiko yake katika mamlaka husika (probably ni foreign service Department) ili mambo kama haya yasije kujirudia tena siku za mbeleni kwa Rais wa sasa Mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan.
Tunachotaka sisi ni kuwa nchi jirani na marafiki zijue tuna msimamo mkali sana linapokuja suala la kulinda taswira njema ya taifa pamoja na viongozi wetu waandamizi. Leo kadhalilishwa hayati Magufuli, kesho wataanza na Rais mama Samia.
Kama ni kweli tunahitaji kuwa na umoja wa Afrika ya Mashariki ambao ni imara na wenye tija kwa pande zote, ni lazima Kenya ituhakikishie kuwa itapambana na wahalifu watakaokuwa wanafanya cyberbullying dhidi ya viongozi waandamizi wa Tanzania.
Nilazima Wakenya wajue Tanzania ni taifa kubwa kwa Afrika Mashariki na Kati. Sisi tuliwakomboa Waganda jambo ambalo wao Wakenya liliwashinda. Tunataka urafiki wenye tija and not the otherway round.
==========
Friday, March 19, 2021 – Hours after the sudden death of Tanzanian President John Pombe Magufuli, reports emerged on social media that a female Kenyan lawyer had an affair with Magufuli and that the two had a child together.
However, the lawyer has since denounced the viral social media post bearing her image, suggesting that she was in bed with Magufuli.
In a statement yesterday, the female Kenyan lawyer, who identified herself as Angela Gitahi, noted that her image had been used with malicious intent.
The post alleged that she had a child with the late president, and was looking for assistance to access Tanzania’s Embassy.
Gitahi, who is a KANU National Executive Committee Member, dismissed the claims as baseless.
“Today, I have been made aware of a social media post circulating with my image and captioned in what I would call an ‘outrageous’ misrepresentation of my person.”
“It is truly unfortunate, unnecessary, and outrageous slander by a careless propaganda outlet.”
“I find it necessary, therefore, for both my sake and those that look up to me, to share my side of the story,” she stated.
She noted that she was unbowed by the inaccurate reports.
“When someone is cruel or acts like a bully, you don’t stoop to their level.”
“No, our motto is, ‘When they go low, we go high,” she stated.
=======
Sources;
=======
(1) Did the late Tanzania President JOHN POMBE MAGUFULI ‘sleep’ with this Kikuyu lady and sired a child with her? Alleged baby mama speaks
(2) Kenyan Lawyer Reported as Magufuli's Baby Mama Issues Statement | Nairobi Times
(3) Kenyan Lawyer Alleged to be Magufuli's 'Secret Wife' Speaks | Frontliner
(4) DRAMA AS MAGUFULI’S BABY MAMA SPEAKS OUT AFTER HIS DEATH. - Challyh News
(5) Kenyan Lawyer Reported as Magufuli's Baby Mama Issues Statement
(6) Kenyan lady speaks about a report on her relationship with the late President Magufuli
(7) See Photos Of Magufuli's Alleged Kenyan Baby Mama - Kenyan Music
(8) See Photos Of Magufuli's Alleged Kenyan Baby Mama - Kenyan Lyrics
==========
View attachment 1765935
==========
T.C.R.A fungieni hii website ya kipuuzi inayochafua taswira njema ya viongozi wetu. Ni wangapi miongoni mwenu mnakumbuka lile sakata la "Ze Utamu" wakati wa uongozi wa Mzee Kikwete?
Ze Utamu>>> Search results for query: ze utamu
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ukweli ni lazima usemwe ukiambatana na ushahidi wa picha pamoja na video. Ukweli bila ushahidi mzito huko ni kuichafua Tanzania yetu.ukweli lazma usemwe, mmezzoea kuzuia uhuru wa habari sasa mnatajka kwenda hadi kenya, MATAGA NA SUKUMA GANG MNA SHIDA sana
Ndo maana nasema mahakama zipo.Tatizo lako Kenya wanakulipa kufanya propaganda chafu
Sasa MATAGA wanahusiana vp na suala hili la kitaifa?ukweli lazma usemwe, mmezzoea kuzuia uhuru wa habari sasa mnatajka kwenda hadi kenya, MATAGA NA SUKUMA GANG MNA SHIDA sana
Sio kila jambo ni la kwenda mahakamani, mambo mengine ni kufanya sabotage tuNdo maana nasema mahakama zipo.
Hajazuiliwa mtu kuchukua hatua za kisheria.
Tukigundua kuwa yeye ni agent wa kigeni hakika tutamshughulikiaTatizo lako Kenya wanakulipa kufanya propaganda chafu
Unaonesha roho ya uoga mbele ya adui mkuu. Acha kuwaogopa hao manyang'au wa Nairobi1. Mambo ya kidiplomasia hususan kwa nchi rafiki huwa hayafanywi kwenye vyombo vya habari, inawezekana ubalozi umeshafikisha malalamiko kwenye sehemu husika na wameshayazungumza.
2. Kumbuka kenya wana moja ya katiba bora duniani..ina mapungufu yake lakini ni katiba nzuri sana. Kenya vyombo vya habari vinalindwa na katiba na vina uhuru sana..waziri wa habari hawezi akaamka tu asubuhi akafungia chombo cha habari. Kuna tume ya vyombo vya habari ambayo haihusiani na serikali ambayo yenyewe ndio ina shughulikia mambo ya kinidhamu kwenye media. So usifikiri ubalozi unaweza ukalalamika kwenye serikali ya kenya na serikali ikakifungia chombo cha habari.