Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Veronica France je !!??
 
Wakati wa kipindi cha uchaguzi mwaka jana 2020, siku tatu Rais Samia alikuwa amepumzika nyumbani kwa maana alikuwa na uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 95%.
CCM Wengi ni waadilifu kama Rais Samia. Huyu mama Samia anapaswa kuwa role model ya wanawake wachapakazi hapa Tanzania.
 
CCM Wengi ni waadilifu kama Rais Samia. Huyu mama Samia anapaswa kuwa role model ya wanawake wachapakazi hapa Tanzania.
Waambie hao Chadema kuwa siasa za kihuni zimepitwa na muda na sasa wamuombe msamaha mama yetu Rais Samia.
 
Waambie hao Chadema kuwa siasa za kihuni zimepitwa na muda na sasa wamuombe msamaha mama yetu Rais Samia.
Ambaye angemsumbua Rais Samia kwenye Uchaguzi wa mwaka jana 2020 labda yule mama Merkel wa ujerumani tu.
 
Rais Samia ni mbeba maono Kwa jinsi uchumi wa Tanzania unavyokuwa kwa kasi hadi 2025 tutakuwa tumeipiku south Africa.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
 
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Samia na JPM wakitutetea sisi wanyonge.
 
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Samia na JPM wakitutetea sisi wanyonge.
Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…