Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Asante Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia vema mama yetu.Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.