Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Kenya kuna uhuru wa vyombo vya habari, sio kwetu sisi makondoo wa siasa za kijamaa.
Basi kama ni hivi hakutakuja kuwa na EAC imara ni kudanganyana tu kwa maana sheria zao na zetu ni tofauti kabisa.
 
Basi kama ni hivi hakutakuja kuwa na EAC imara ni kudanganyana tu kwa maana sheria zao na zetu ni tofauti kabisa.

East Africa imara ilikuwa ni ile iliyoachwa na mkoloni, sio hii ya wakoloni weusi. Kenya wako huru kwenye vyombo vya habari, hili unaloona ni mada kwa hawa makondoo wa Tanzania, huko ni jambo la kawaida sana.
 
yaani ubalozi wetu upoteze muda kwa kitu cha kitoto kama icho? utani tu unataka tuharibiane hadi ushirikano wa kimataifa kwa utani wa kabinti kadogo tu? acha ujinga.
Wangejua ni utani wasingeandika katika "Mainstream Media" bali wangeacha huko huko walipookota.

Mchelea mwana...
 
Wangejua ni utani wasingeandika katika "Mainstream Media" bali wangeacha huko huko walipookota.

Mchelea mwana...
sasa kama binti ameongea ulitaka wafanye nini? wanyamaze? kwani kama kweli je? kwa mwanaume kama marehemu kufanya ngono ni kitu cha ajabu? ulikuwa naye maeneo yote?....binafsi mtu akija akanambia kuwa nimemzalisha sioni shida kwasababu nina watoto nje ya ndoa hadi sasa, na nimeshacheat sana tu sio kitu cha ajabu, mimi sio malaika, anything can be true. si bora Mungu kanipa na mkuyenge ya kunjunju, kuliko ningekuwa hanisi...
 
Nonsense
 
Tafadhal niruhusu nikukosoe pakubwa. Daily post sio gazeti. Ni web page kwa jina blog. Wala sio maarufu unavyosema. Mwenyewe hajulikani! Do not confuse that with Daily Nation (Nation Media Group).

The blog thrives on clicks. So wanaweka taarifa yenye mvuto kwenye headline. Halafu watu wanaclick hio page kusoma ile taarifa. Most of the time on the body of the post huwa haisemi cha muhimu. No details. At the end of the day the advertisements on the sites are seen by many people and the revenue is higher.

I do not visit that blog due to the reasons above. Vile umeagazia hio story hapa, umewaongezea mapato yao maradafu iwapo wabongo wenzako wataflood kwenye hio page.
 
Nenda basi ukaishi huko Kenya.

Kwanini ww usiende kuishi korea kaskazini? Ukweli ni kua Kenya hamna makondoo kama hapa, na hilo ndio linalokutesa. Kwa taarifa yako hata hayo hmagazeti ya Kenya ndio yaliyokuwa yakitoa updates za kuwa Magu ni mgonjwa sana toka tarehe 5 March, wakati huo vyombo vya habari vya hapa kwetu vikiwa kwenye usingizi mzito. Unaachaje kuviamini vyombo vya habari vya Kenya kwa mfano?
 
Mwenyewe hajulikani!
At the end of the day the advertisements on the sites are seen by many people and the revenue is higher.
Kama mwenyewe hajulikani, who collects those revenues? Ni nani anaidhinisha hayo matangazo?

Kama Kenya inaweza kuwa na website ambayo mtu anaweza kuitumia katika kufanya uchochezi bila kujulikana basi Kenya sio nchi salama.
 
Kama mwenyewe hajulikani, who collects those revenues? Ni nani anaidhinisha hayo matangazo?

Kama Kenya inaweza kuwa na website ambayo mtu anaweza kuitumia katika kufanya uchochezi bila kujulikana basi Kenya sio n
Sana sana huwa google ndio huchukua fedha za advertisers. Same way they do kwa zile video za YouTube. Baadaye wanatoa kiasi fulani kwa wenye content. Hii site ulifungwa na serikali around 2012. Then mwenyewe akaifungua using another domain from abroad, must be the USA. Serikali ya Kenya haiwezi kufunga websites outside their jurisdiction.

Hope umenipata.
 
Kama mwenyewe hajulikani, who collects those revenues? Ni nani anaidhinisha hayo matangazo?

Kama Kenya inaweza kuwa na website ambayo mtu anaweza kuitumia katika kufanya uchochezi bila kujulikana basi Kenya sio nchi salama.
Ndugu, wafaa ujue pia google huchukua information about your likes from what you search from all the apps in your phone. Am assuming that you use Android phones. Some phones have been alleged to listen to users. So all this information google analyses and uses the same to give targeted advertisements based on your interests.


Wenye kuuza products depend on google for that. Hapa Kenya utamtoa wapi google ndio akuelezee kwenye website ni nani? That is how it works.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…