Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Huyu mama Samia yupo imara sana na watu hawatakiwi kumdharau eti kwa sababu ni mwanamkeRais Samia dawa ya mafisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama Samia yupo imara sana na watu hawatakiwi kumdharau eti kwa sababu ni mwanamkeRais Samia dawa ya mafisadi
Watu kama hao ni wa kuwasamehe bure tu mkuuKwahiyo ndio makavu live sio.
Ngoja bwashee aje au Mshana sijui itakuaje
Maringo ni ya nini? Kisha wewe ukinichezea nitakutia mimba unizalie mapacha. Nimekuonya 😤Siwezi kuolewa na mwanaume wa Kenya 254
Wanaume wa Kenya hawajui kuogaMaringo ni ya nini? Kisha wewe ukinichezea nitakutia mimba unizalie mapacha. Nimekuonya 😤
Kuna dada yangu mmoja aliolewa huko Kenya ikabidi atoroke aje bongolandWanaume wa Kenya hawajui kuoga
Basi kama wapo hivi, hata kwa mahari ya 9,000,000 sikubali kuolewa na Mkenya.Wanaume wa Kenya hawajui kuoga
Mbona hapa Bongo wanaume bado wengi sana tuBasi kama wapo hivi, hata kwa mahari ya 9,000,000 sikubali kuolewa na Mkenya.
Wakileta ujinga Tanzania tunawafukuza kama mbwaTuwe makini sana na hawa Wakikuyu
Kabila gani huyo dada yako? Mkurya?Kuna dada yangu mmoja aliolewa huko Kenya ikabidi atoroke aje bongoland
Ndio maana anawakingia sana kifua ndugu zake.Utakuwa Mkenya wee jamaa
Hahahahaha Wakenya hawapendi kusikia hivyo hata siku mojaNimekaa sana Nairobi ni mji wa kishamba afadhali hata Mwanza
Tena waaminifu kweli kweliMbona hapa Bongo wanaume bado wengi sana tu
Bora Zambia kidogo wastaarabu mkuuWakileta ujinga Tanzania tunawafukuza kama mbwa
Nikisikia tu neno Wakurya ninakumbuka mbali sana. Wakati ninasoma Tarime nilikuwa ninakunywa sana togwa zao.Kabila gani huyo dada yako? Mkurya?
Umeandika uozo mtupu team ufipa weweLile dubwana lishakufa msitulazimishe tulikumbuke liendelee kuwa kiongozi wa malaika huko mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lilivyoua na kudhalilisha watu hamkuona nyambaf halina legacy yoyote lile kapuuut
Mwambie aje huku Njombe vijijini nimpe kaka yangu amuoe awe mke wa tatuMbona hapa Bongo wanaume bado wengi sana tu
Aliolewa Kenya county ipi?Kuna dada yangu mmoja aliolewa huko Kenya ikabidi atoroke aje bongoland
Wakati nikiendesha malori kwenda Mombasaa kutokea Tanga, n.ime.wato.m.ba sana mademu wa kikenyaBasi kama wapo hivi, hata kwa mahari ya 9,000,000 sikubali kuolewa na Mkenya.
Kenya kuna province na sio countyAliolewa Kenya county ipi?
Alitorokea Namanga au Sirari?Kuna dada yangu mmoja aliolewa huko Kenya ikabidi atoroke aje bongoland