Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Njombe walikuwa wanaua sana watoto wadogoMwambie aje huku Njombe vijijini nimpe kaka yangu amuoe awe mke wa tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njombe walikuwa wanaua sana watoto wadogoMwambie aje huku Njombe vijijini nimpe kaka yangu amuoe awe mke wa tatu
Ni majuha sana hao ufipa. Wajanja wapo UVCCMUmeandika uozo mtupu team ufipa wewe
Hawakati govi wazambia ujue?Bora Zambia kidogo wastaarabu mkuu
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia DiamondNi majuha sana hao ufipa. Wajanja wapo UVCCM
Ninaishi USA. Nasikia CCM ilichukua majimbo yote katika uchaguzi wa mwaka jana 2020. Ni kweli?Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia Diamond
2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.Ninaishi USA. Nasikia CCM ilichukua majimbo yote katika uchaguzi wa mwaka jana 2020. Ni kweli?
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. samia mama lao.2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.
Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. samia mama lao.
Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Chama chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Tunapenda Rais Samia asipate changamoto kubwa katika kupambana na CHADEMA pamoja na wanasiasa wengine uchwaraRais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Samia anatutea Waafrica dhidi ya uonevu wa mabeberuHivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?
Mafisadi wana hofu ya kushindwa na Samia. Wanajua Samia lazima awashughulikie ndio maana hawataki wapambane nayeSamia anatutea Waafrica dhidi ya uonevu wa mabeberu
kuna watu wachache wanamtukana Rais Samia Dawa yao inachemka. Tutahakikisha wanalia na kusaga menoRais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Vijana kama sisi ndio wazalendo Tumpe muda Rais Samia afanye mambo makubwakuna watu wachache wanamtukana Rais Samia Dawa yao inachemka. Tutahakikisha wanalia na kusaga meno
Rais Samia anafanya mambo makubwa sana huyu mama. CCM oooyeeeeeVijana kama sisi ndio wazalendo Tumpe muda Rais Samia afanye mambo makubwa
Nimeona na daraja letu la kigamboni,hongera SamiaRais Samia anafanya mambo makubwa sana huyu mama. CCM oooyeeeee
Rais Samia amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sanaNimeona na daraja letu la kigamboni,hongera Samia