Ubalozi wa Ufaransa wafuta matangazo ya Magufuli!

ccm na wapambe wao watupu sana kichwani
Balozi ni nchi ndani ya nchi hazifungamani na upande wowote kisiasa
Wanageuza kila kitu ni mali yao
Lakini kama Mzee kijana slowslow ndiye mshawishi wa hili sishangai
 
Nimemkuta kijana mmoja anabandika bango la ccm kwenye ukuta wangu nimemzibua, sasa hivi ndio anapiga simu kwa bosi wake amletee hela ya rangi hapa
Ha ha ha.. ila uwe makini. Wanaweza kukuteka au kukubambikizia kesi isiyo na dhamana
 
Vipi rangi ya ukuta haikubanduka?
 
uwongo wao wa mwisho nj kusema wameibiwa kura...

pale watakapopata 8%

viva magu
Kwa kuwadanganya misukule hamjambo
Nani anaweza bandika Bango ubalozini
Hivi nyie mbona Wapumbavu sana
Yaani kujazana Uongo mnaona wajuaji kumbe wajinga tu!!
Na Vibendera tayari vimefuata upepo
Hahaha mwaka huu Mtakiona
 
Kwa kuwadanganya misukule hamjambo
Nani anaweza bandika Bango ubalozini
Hivi nyie mbona Wapumbavu sana
Yaani kujazana Uongo mnaona wajuaji kumbe wajinga tu!!
Na Vibendera tayari vimefuata upepo
Hahaha mwaka huu Mtakiona

Ningekuwa nasema uongo, uzi huu ungekuwa umeshafutwa zamani.

Tatizo lenu mnatumia nguvu nyingi wakati akili hamna.
 
Ukitaka na wewe nenda kabsndike lako haya ukuta wa ikulu Chamwino, hizi zimejengwa kwa hela ya walalahoi.
 
Hao nao wanapiga kura wapi!!! we unajua kwanini wametoa wamezoea kuombwa msaada kusaidia uchaguzi this time kimya wakafie mbele
 
Kidiplomasia kabisa

Hutakiwi kuweka hayo mabango kabisa
 
Halafu wasichokijua mataga watu wakiona hiyo sura ndo wanazid kuwatia uchungu watanzania kumuona mtu ambaye amewatasa miaka mitano, mbaya zaid sura haina mvuto
Ila mataga wamelichagua jiji la Dsm kwa mapicha picha ya Magufuli hadi yanakera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…