britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Mnatapa tapa sana aisee! Mazungumzo yenu yote ninayo na mtu wenu ambaye juzi alitaka autuhumu ubalozi moja kwa moja kwamba ndo umemficha Polepole nikawasihi na kuwaonya kwa Uzi nilioandika kwamba IGP usithubutu kuingia mtego huo wala usijaribu,
Tunajua watu sita walitumwa Sweden na Marekani kufuata nyayo za coding mnazotumia kuona Kama atanaswa! Mmeshagonga mwamba !
Leo hii ni siku 4 mmebadili hisia zenu mnaanza kutuhumu Ubalozi wa watu bila ushahidi wa kutosha!
Hivi intelligensia ya Tanzania ikoje na ina weledi gani?
Mmeongeza surveillance area kujua Jamaa alipo,
Anyway mmeshavuruga sana na mmevurugwa
Kuna siku mambo tunayolilia wananchi mtakuwa mtu kati mezani kukubaliana nayo huku makubaliano yakifanyika watu wakiwa na bandeji vichwani!
Britanicca