Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ila wafungulie jf
Hawana ulinzi wa anga. Watachakazwa chapKama wanajua yupo hapo mbona maamuzi ya kuzingira huwa hawachelewi, kulikon katika hili. Wazingire wamtoe nje
Hiyo hawawezi ni against international laws na norms za kidiplomasia.HawaweZi wanaufyataGWajima alikemea utekaji kesho wakaizingira kanisa, TLS imelaani wakili wao kuonewa leo wamezimgira ofisi zao.
Kama wanajua yupo hapo mbona maamuzi ya kuzingira huwa hawachelewi, kulikon katika hili. Wazingire wamtoe nje
Siku si nyingi tukikombolewa! Nitakutafuta tunywe Supu ya Kende za kitimoto kwa furaha.Mnatapa tapa sana aisee! Mazungumzo yenu yote ninayo na mtu wenu ambaye juzi alitaka autuhumu ubalozi moja kwa moja kwamba ndo umemficha Polepole nikawasihi na kuwaonya kwa Uzi nilioandika kwamba IGP usithubutu kuingia mtego huo wala usijaribu,
Tunajua watu sita walitumwa Sweden na Marekani kufuata nyayo za coding mnazotumia kuona Kama atanaswa! Mmeshagonga mwamba !
Leo hii ni siku 4 mmebadili hisia zenu mnaanza kutuhumu Ubalozi wa watu bila ushahidi wa kutosha!
Hivi intelligensia ya Tanzania ikoje na ina weledi gani?
Mmeongeza surveillance area kujua Jamaa alipo,
Anyway mmeshavuruga sana na mmevurugwa
Kuna siku mambo tunayolilia wananchi mtakuwa mtu kati mezani kukubaliana nayo huku makubaliano yakifanyika watu wakiwa na bandeji vichwani!
Britanicca
Ile issue ilikuwa wazi baada ya Lissu kuona amefuatiliwa mara 2 kila aendapo na zile gari ndio alipopiga hesabu ya haraka kulinda usalama wake ni kwenda ubalozini baada ya kufanya contact balozi na halikuwa jambo la siri hata siku anaenda airport balozi alimsindikiza na kuhakikisha kapanda ndege kabisa .Hivyo kwa muktadha huo Lissu hakujificha kama ambavyo polisi wamemsaka Polepole miezi miwili sasa na wasijue alipo.Tatizo ni confirmed intel kama TL alivyokua hosted German Embassy.
LAkini pia ubalozi unaweza amua kutoa ushirikiano kwa Tanzania.Ardhi ya Ubalozi ni nchi. Hakuna watu wasiojulikana ambao hutumiwa na wahuni wanaweza kukifanya kwa mujibu wa sheria za Vienna .
Mnatapa tapa sana aisee! Mazungumzo yenu yote ninayo na mtu wenu ambaye juzi alitaka autuhumu ubalozi moja kwa moja kwamba ndo umemficha Polepole nikawasihi na kuwaonya kwa Uzi nilioandika kwamba IGP usithubutu kuingia mtego huo wala usijaribu,
Tunajua watu sita walitumwa Sweden na Marekani kufuata nyayo za coding mnazotumia kuona Kama atanaswa! Mmeshagonga mwamba !
Leo hii ni siku 4 mmebadili hisia zenu mnaanza kutuhumu Ubalozi wa watu bila ushahidi wa kutosha!
Hivi intelligensia ya Tanzania ikoje na ina weledi gani?
Mmeongeza surveillance area kujua Jamaa alipo,
Anyway mmeshavuruga sana na mmevurugwa
Kuna siku mambo tunayolilia wananchi mtakuwa mtu kati mezani kukubaliana nayo huku makubaliano yakifanyika watu wakiwa na bandeji vichwani!
Britanicca
😂😂😂😂😂😂………..!!!!Yaani wewe kiumbe mwenye jina kama biscuts uwa nakukubali sana. Yaani hata kikao kikifanyika chooni unapekenyua na unawaweka wazi tu
Mnatapa tapa sana aisee! Mazungumzo yenu yote ninayo na mtu wenu ambaye juzi alitaka autuhumu ubalozi moja kwa moja kwamba ndo umemficha Polepole nikawasihi na kuwaonya kwa Uzi nilioandika kwamba IGP usithubutu kuingia mtego huo wala usijaribu,
Tunajua watu sita walitumwa Sweden na Marekani kufuata nyayo za coding mnazotumia kuona Kama atanaswa! Mmeshagonga mwamba !
Leo hii ni siku 4 mmebadili hisia zenu mnaanza kutuhumu Ubalozi wa watu bila ushahidi wa kutosha!
Hivi intelligensia ya Tanzania ikoje na ina weledi gani?
Mmeongeza surveillance area kujua Jamaa alipo,
Anyway mmeshavuruga sana na mmevurugwa
Kuna siku mambo tunayolilia wananchi mtakuwa mtu kati mezani kukubaliana nayo huku makubaliano yakifanyika watu wakiwa na bandeji vichwani!
![]()
Britanicca
Lakini ishu ya Kashoghi ilikuwa ubalozi wa Saudi Arabia. Ubalozi wao.LAkini pia ubalozi unaweza amua kutoa ushirikiano kwa Tanzania.
Reference mauaji ya kashogi
Kosa la Polepole ni nini mpaka serikali inamutafuta au kaongea yale wasiyoyapendaMnatapa tapa sana aisee! Mazungumzo yenu yote ninayo na mtu wenu ambaye juzi alitaka autuhumu ubalozi moja kwa moja kwamba ndo umemficha Polepole nikawasihi na kuwaonya kwa Uzi nilioandika kwamba IGP usithubutu kuingia mtego huo wala usijaribu,
Tunajua watu sita walitumwa Sweden na Marekani kufuata nyayo za coding mnazotumia kuona Kama atanaswa! Mmeshagonga mwamba !
Leo hii ni siku 4 mmebadili hisia zenu mnaanza kutuhumu Ubalozi wa watu bila ushahidi wa kutosha!
Hivi intelligensia ya Tanzania ikoje na ina weledi gani?
Mmeongeza surveillance area kujua Jamaa alipo,
Anyway mmeshavuruga sana na mmevurugwa
Kuna siku mambo tunayolilia wananchi mtakuwa mtu kati mezani kukubaliana nayo huku makubaliano yakifanyika watu wakiwa na bandeji vichwani!
Britanicca
Intelijensia ya jeshi la polisiccm huwa inawanasa chadema tu.Hivi intelligensia ya Tanzania ikoje na ina weledi gani?