X-Agent
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 8,989
- 17,113
Hakika hata ukirudisha miaka mitano nyuma, kwenye meza moja na polepole huwezi kuongea robo ya anachoongea polepole leo na usiokotwe kwenye kiroba.Polepole Tanzania anafanya nini? Polepole kua Tanzania ni vichekesho