Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Hajui huyo
Lakini ishu ya Kashoghi ilikuwa ubalozi wa Saudi Arabia. Ubalozi wao.
Lakini ishu ya Kashoghi ilikuwa ubalozi wa Saudi Arabia. Ubalozi wao.
Polepole Tanzania anafanya nini? Polepole kua Tanzania ni vichekeshoTatizo ni confirmed intel kama TL alivyokua hosted German Embassy.
Na kukamatwa kwa Noriega Rais wa Panama aliyejificha ubalozi wa Vatican early 1990sLAkini pia ubalozi unaweza amua kutoa ushirikiano kwa Tanzania.
Reference mauaji ya kashogi
Miezi mitatu mingi Sana!Ila wafungulie jf
Mkuu ukiangalia vizuri huo mfano wa Kashogi unaendana na wa Pole pole?Keyboard warriors mnao sema hawawezi hapa tz mnanishangaza nyie ni watoto wa efmbili mnamkumbuka kashogi je nayuke mnyarwanda ogopa sana mambo ya serikali ukifunguwa Busta zote huchomoi
Wajaribu 😂😂😂 mang'ombeGWajima alikemea utekaji kesho wakaizingira kanisa, TLS imelaani wakili wao kuonewa leo wamezimgira ofisi zao.
Kama wanajua yupo hapo mbona maamuzi ya kuzingira huwa hawachelewi, kulikon katika hili. Wazingire wamtoe nje
Tunashindwa kubebika vzrMiezi mitatu mingi Sana!
Wewe jamaa ungejiingiza kwenye uganga wa kienyeji ungepiga sana pesa. Maana nchi hii wajinga wapo wengi sana.Mnatapa tapa sana aisee! Mazungumzo yenu yote ninayo na mtu wenu ambaye juzi alitaka autuhumu ubalozi moja kwa moja kwamba ndo umemficha Polepole nikawasihi na kuwaonya kwa Uzi nilioandika kwamba IGP usithubutu kuingia mtego huo wala usijaribu,
Tunajua watu sita walitumwa Sweden na Marekani kufuata nyayo za coding mnazotumia kuona Kama atanaswa! Mmeshagonga mwamba !
Leo hii ni siku 4 mmebadili hisia zenu mnaanza kutuhumu Ubalozi wa watu bila ushahidi wa kutosha!
Hivi intelligensia ya Tanzania ikoje na ina weledi gani?
Mmeongeza surveillance area kujua Jamaa alipo,
Anyway mmeshavuruga sana na mmevurugwa
Kuna siku mambo tunayolilia wananchi mtakuwa mtu kati mezani kukubaliana nayo huku makubaliano yakifanyika watu wakiwa na bandeji vichwani!
Britanicca
Mkuu Kashoggi ni raia wa Saudi aliyeuwawa nchini Uturuki akiwa kwenye ubalozi wa Saudi.Keyboard warriors mnao sema hawawezi hapa tz mnanishangaza nyie ni watoto wa efmbili mnamkumbuka kashogi je nayuke mnyarwanda ogopa sana mambo ya serikali ukifunguwa Busta zote huchomoi