Tetesi: Ubalozi wa Ufaransa wajadiliwa ndani ya Ofisi ya IGP na baadhi ya wanausalama kwamba umemficha Polepole

Keyboard warriors mnao sema hawawezi hapa tz mnanishangaza nyie ni watoto wa efmbili mnamkumbuka kashogi je nayuke mnyarwanda ogopa sana mambo ya serikali ukifunguwa Busta zote huchomoi
 
Ngoja waingizwe kingi manina zao mnamkuta polepole wa mdoli
 
Keyboard warriors mnao sema hawawezi hapa tz mnanishangaza nyie ni watoto wa efmbili mnamkumbuka kashogi je nayuke mnyarwanda ogopa sana mambo ya serikali ukifunguwa Busta zote huchomoi
Mkuu ukiangalia vizuri huo mfano wa Kashogi unaendana na wa Pole pole?
 
GWajima alikemea utekaji kesho wakaizingira kanisa, TLS imelaani wakili wao kuonewa leo wamezimgira ofisi zao.

Kama wanajua yupo hapo mbona maamuzi ya kuzingira huwa hawachelewi, kulikon katika hili. Wazingire wamtoe nje
Wajaribu 😂😂😂 mang'ombe
 
Wewe jamaa ungejiingiza kwenye uganga wa kienyeji ungepiga sana pesa. Maana nchi hii wajinga wapo wengi sana.
 
Ni ujinga mkubwa kumtafuta polepole kwani hanakosa lolote majitu yapo ofisini wakati angela kizgha yupo na mama huku kashifa ya uniform ikiwa wazi kabisa , huwa najiuliza hivi raisi akiwa madarakani jeshi la polisi linakuwa mfukoni kiasi kwamba viongozi wandamizi anaifanya nao kazi wakifanya makosa hawakamatwi hata kushitakiwa.
Hilo jeshi mlione hivo linataka kumzuia polepole kwa njia haramu asiseme mapungufu ya viongozi na hujuma wanazofanyiwa wananchi
 
Keyboard warriors mnao sema hawawezi hapa tz mnanishangaza nyie ni watoto wa efmbili mnamkumbuka kashogi je nayuke mnyarwanda ogopa sana mambo ya serikali ukifunguwa Busta zote huchomoi
Mkuu Kashoggi ni raia wa Saudi aliyeuwawa nchini Uturuki akiwa kwenye ubalozi wa Saudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…