Hakika hata ukirudisha miaka mitano nyuma, kwenye meza moja na polepole huwezi kuongea robo ya anachoongea polepole leo na usiokotwe kwenye kiroba.Polepole Tanzania anafanya nini? Polepole kua Tanzania ni vichekesho
ndio mkuu kwani mi nmekwambiajeMkuu Kashoggi ni raia wa Saudi aliyeuwawa nchini Uturuki akiwa kwenye ubalozi wa Saudi.
Soma vizuri mkuu Ndo maana nmeweka miwili je ule wa mnyarwanda aliekutwa hotelini kafa na hakuonekana mtu akiingiaMkuu ukiangalia vizuri huo mfano wa Kashogi unaendana na wa Pole pole?
Husihanisha hiyo na mfano wa mwamba.ndio mkuu kwani mi nmekwambiaje
Wakuu msichanganye mambo.Mkuu ukiangalia vizuri huo mfano wa Kashogi unaendana na wa Pole pole?
πππmakubaliano yakifanyika watu wakiwa na bandeji vichwani!
HakikaNoma sana!!