Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

Wewe ndiyo una Akili huko CCM? Kama wewe ndiyo una Akili huko CCM wengine watakuaje? Kitengo cha kusema ana chuki na CCM kwa vitendo vyake vya kishamba kishetani kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani imenishangaza mno, Yaani unataka watu wenye Akili timamu wafagilie upumbavu wa CCM kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji mateso na mambo mengi ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa? Unataka watu waukubali ufisadi wenu kwenye miradi yote mikubwa na wizi wa pesa za corona kwa kisingizio cha kipumbavu kuwa ni chuki?
 
Pambana na hali yako.
 
Wewe ni mnufaika wa ufedhuri uonevu wa CCM hata uambiwe nini utaishia kuandika vya ajabu ili mradi polepole akuone umechangia mada wakupe uteuzi, huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM pekee
 
“Si kweli kwamba umoja wa Ulaya huipa Tanzania tril 1.6 kila mwaka, lakini pia si kweli kuwa fedha hizo zimesitishwa" Hii sentensi inajipinga yenyewe (Oxymoron). Huyu mzee angekausha tu badala ya kubwabwaja ili asipoteze kibarua chake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]icc siyo balaza kuu la bawacha
 
Ilani ya CCM ina kurasa 308, Anzeni utekelezaji wake .hatutaki longo longo zenu. Mara misaada,mara mikopo . Nchi hii ni tajiri.
CCM imekuwa ni chama omba omba hakuna mfano Duniani, huomba misaada mpaka Nchi masikini za kiafrika , wameomba msaada Morocco iwajengee uwanja wa soka Dodoma wakati ni Nchi yenye njaa pia
 
“Si kweli kwamba umoja wa Ulaya huipa Tanzania tril 1.6 kila mwaka, lakini pia si kweli kuwa fedha hizo zimesitishwa" Hii sentensi inajipinga yenyewe (Oxymoron). Huyu mzee angekausha tu badala ya kubwabwaja ili asipoteze kibarua chake.
Balozi kaamua kujitoa fahamu kulinda njaa zake hana anachokijua Zaidi
 
Ingependeza na kuaminika zaidi kama hayo yangesemwa na Ubalozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini lakini kutolewa na Balozi wetu, muunga juhudi, nchini kwa mabeberu inatia shaka. Awamu hii ni kukanusha kila kitu!
Beberu kaamua kumkoromea mbuzi jike
 
Watanzania wenye Akili timamu hawafagilii kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani, CCM imeupora ushindi halali wa wapinzani kwa kusaidiwa na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kwa njia haramu za kishetani ni Mtanzania yupi mwenye Akili timamu anakubali huo upumbavu?
 
Kwisha kazi yenu nyie makamamda uchwara na huyo mzungu wenu.
 
Ha ha ha minyoo bhana. Dah I miss u bro, you are most welcome.
 
Wana ndimi nyingi hawa!

Mi nilijua hizo ni pesa za mashoga hatuzitaki
 
Kwanza twambie hao watano tu walioijadili nchi yetu ya kusadikika na Uchaguzi wa 28/10/2020 wamesema nini? Pili, hoja kwamba ni wabunge watano tu haina tija, kwa sababu kwenye kikao hata hoja ya mtu mmoja tu inatosha kusikilizwa na kufanyiwa kazi. Kwenye kikao siyo lazima wajumbe wote waseme kuhusu hoja fulani, maana watakuwa wanarudia rudia kile kile, labda kama kuna ubishana hapo wengi wataongea, lakini hoja ikiwa na mashiko mjumbe mmoja tu anatosha. Hivyo kama hoja kuhusu nchi yetu ya kusadikika na uchafuzi wa 28/10/2020 imesemwa na wajumbe watano, basi hao ni wengi sana! Na kama hakuna mjumbe aliyekuwa na mawazo tofauti na hao watano maana yake hiyo hoja imekubaliwa na kupokelewa na wajumbe wote, kinachofuata ni azimio tu kwenye kikao kinachofuata. Cha kufanya sasa ni Tanzania kutoa maelezo ya kina kwa kilichofanyika ili kukiwahi hicho kikao cha maamuzi kitakachofuata. Tukikaa na kuamini hiki cha huyu nyumba kumi ambaye anaonekana hajaiva kidiplomasia itakula kwetu. Tujue wazi kwamba dunia kwa sasa ina picha mbaya sana kuhusu nchi yetu na utawala wake hauna mwangwi mzuri duniani. Hivi bado hatuelewi hili?


Bahati mbaya sana ni kwamba tumempata waziri wa mambo ya nje mwenye propaganda badala ya Diplomasia. Huyu hatofautiani kabisa na Polex2. Waziri mwenyewe hana uhalali wa kuwa waziri maana ameteuliwa kinyume na katiba. Ameteuliwa kabla ya waziri mkuu, na uteuzi wa waziri mkuu unathibitishwa na kiapo ndipo mtu awe waziri mkuu na baada ya hapo katiba inamtaka akae na mkuu wa kaya waunde baraza la mawaziri. Kitu hiki hakikufanyika. Ni aibu ya mwaka. Tunakuwa na waziri wa mambo ya nje mwenye kazi ya kumpamba mfalme kwa maneno biriani na kachori. Kwa namna hii kuirudisha nchi yetu kwenye asili na utamaduni wake ni kazi nzito!
 
Wabunge hao 5 ni miongoni mwa wachache wengine wenye hasira dhidi ya JPM kwa kufumua mipango yao batili ya upigaji na unyonyaji Tanzania. Ndiyo maana hata suala la uchaguzi wetu wa uhuru na amani wameshindwa waingilie wapi. Hawa ni bayana wamewehuka kwa sababu tu makampuni yao uchwara & mipango yao ya kuleta machafuko kupita kibaraka wao Mr Mzungu vimefagiliwa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…