chadema hamtaamini kitakacho tokea mwisho wa hili sakata, lazima jpm awa prove wrong eu na wote wanaoiwazia mabaya nchi yetu. Nchi hii ina Mungu ndugu zangu tofauti na tunavyo dhani, tumekwepa mengi sana yaliyokua yanafikiliwa km yangetuvuruga kabisa lakini tumevuka na chadema mkiwa mashahidi lakini bado hamjifunzi kuweka akiba ya maneno
Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.
Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.
Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.
Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.
Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.
Awamu hii ni shida tupu!
No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Salary kama unawahudu wazungu kiasi hicho hadi kutweza utu wako ni kwa nini usiende ukaolewe nao hao wazungu ili roho yako itulie?
Kila kiumbe humu duniani kina umuhimu wake, hivyo ni wazi pia wazungu wanahitaji uwepo wetu sisi ili nao waweze eidha kututumikisha au kutudhalau kama mnavyopenda, lakinu kwa vile sisi pia tuna akili ni wajibu wetu pia kuonfika kwenye h8zo dharau.
Sasa wewe na Lisu kila siku wazungu wazungu, mwenzako keshatangulia na wewe mfuate huko mkapambane na mabomba ya wazungu ya kutoa maji machafu, mtuache sisi tupambane nao ili tusimame nao wima kutafuta usawa.
Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.
Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.
Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.
Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.
Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.
Awamu hii ni shida tupu!
No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Ingawa mnabeza hao wahisani sometimes kuitwa mabeberu lakini naamini mnaelewa uhalisia. Bado tunawahitaji wahisani kupiga hatua lakini upande wa pili misaada yao inaambatana na mambo mengi ambayo yana mlengo wa kibeberu ndio maana kila utachofanya ambacho hawafurahii watakuchapia misaada yao.
Mfano ni Stigler Golge ambayo imepigwa vita mashirika makubwa dunia ya mazingira na hata nchi wanachama kutishia kusitisha baadhi ya misaada! Na wengine kuhujumu tusipate mikopo! Huu ndio kibeberu, hawataki hatua zetu za kudumu za kujitegemea!
Wanataka uendelee kuwategemea. Sasa ni lazima wananchi waeleweshwe hasa kipindi hiki tunapotekeleza miradi mikubwa ambayo haiwafurahi hawa wakubwa. Lakini kwavile tumeamua kila kitu kuwa siasa basi hata lengo la matumizi ya neno mabeberu mtaligeuza! Ila ni neno limetumika toka uhuru tukisaidiwa na marafiki wa kweli.
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.
Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.
Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii
Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
Kama wakoloni wangekuwa wanaanza kuitawala Afrika wakati huu hapa Tanzania wasingepata upinzani wowote! Haki ya Mungu watu wamejichoka wenyewe kwa mujibu wa michango ya JF
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.
Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.
Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii
Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
Ingependeza na kuaminika zaidi kama hayo yangesemwa na Ubalozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini lakini kutolewa na Balozi wetu, muunga juhudi, nchini kwa mabeberu inatia shaka. Awamu hii ni kukanusha kila kitu!
Kamati baada ya kutoa mapendekezo juu ya Tanzania basi kitakachofuata kwa Bunge zima ni kupitsha maazimio juu ya hatma ya nchi yetu. Sasa ndugu Balozi weka akaba ya maneno, hujui azimio litakuja vipi? usije ukajificha chini ya meza baadaye.
Kifupi mmeichafua sana nchi yetu .. tunanekana watu tusio straabika (uncivilized) mbele ya macho ya Jumuia hizi za kimataifa. Kurudisha uaminifu na heshima yetu hii itakuwa ni kazi ngumu mno.
Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.
Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.
Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.
Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.
Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.
Awamu hii ni shida tupu!
No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Mwambie Mr Mzungu awe na shukrani kwa nchi yake, aache kujimwambafai; vinginevyo ataendelea kushindwa uchaguzi kila msimu wa uchaguzi na kukimbilia kwa Bob Amsterdam.
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.
Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.
Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii
Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.