Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Wehu wangu ndio uliokufanya wewe upatikane Kamuulize bi. mkubwa wako.Kumbe na wewe ni mwehu kiasi hiki??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wehu wangu ndio uliokufanya wewe upatikane Kamuulize bi. mkubwa wako.Kumbe na wewe ni mwehu kiasi hiki??
Kama ndio kinachopendekezwa na kamati ya Bunge ndio hicho, unategemea nini? Hicho unachokitamani nakipa 1% mpaka hapo unataka nihitimisheje.Kwahiyo bunge la ulaya limetoa azimio kwamba litainyima tz mikopo?
Sasa wewe Kati ya twiter na kuita Wandishi wa habari wa media tofauti tofauti kipi kikubwa kwako?kakanushia wapi huyu balozi mbona twitter wanapotoaga taarifa zao hawajapost tangu tarehe 16?
View attachment 1630337
Hakuna cha moto wala nini, utasubiri sana hapo ufipa.Hawana kiherehere kama wewe.subiri Moto unaokuja
Kweli sii bure sasahivi mabeberu wanahasiwa vibaya mno. Tutawahasi mmoja mmoja. Ukisikia kelele jua hashua zinaminywaHamna kitu hapo ni propaganda zao.
Wazungu wengi ma-experts na vijikampuni vyao vya ushauri elekezi ndo wamekuwa hard hit.
Symbion ndo bado wanalialia.
JPM ataka watanzania ndo washike hizo tenda na wawe wanazingatiwa kwanza.
Sifahamu wale jamaa wa PWC kama bado wadunda mjini Dar.
Na hio ni "tip of iceberg" kuna Japan na JICA nao wamekuwa hit somehow.
Hivyo ukiona kelele hizi si za bure.
Dua za kuku-----Kwa akili yako ulitaka hao wabunge 71 wachangie kwa siku moja? Hao watano wamewakilisha mawazo ya wenzao, subiri vikwazo vinakuja mlipie dhuluma yenu
Na mwenye Nyumba hapo ufipa anadai Kodi yakeHakuna cha moto wala nini, utasubiri sana hapo ufipa.
Wa tigray ndipo anapotokea QUUEN OF SHEBA aliyezaa na mfalme solomon mtoto aitwaye MENELIK,wanadai pia sanduku la agano la ahadi lipo kwao waliiba toka jerusalem,wamewafanya makabila mengine ya ethiopia watumwa kwa miaka mingi sana hadi mwaka 1931 ilipkomeshwa KWA KIFUPI WA TIGRAY WANAAMINI WAO NI SUPERIOR,Uki refer story ya menelik the first kufia mlima kilimanjaro,waethiopia(tigray)hadi leo wanadai kuna nchi yenye mlima mrefu ipo kusini kwetu(ethiopia)hiyo nchi ina mlima mrefu kaskazini na mto mkubwa kusini(rufiji)ni mali yetu kuna siku tutarudi kuitawala.Tundu Lissu ameingia kwasababu alikuwa ataka kufanya afanyayo Abiy sasa hivi.
Ile tuzo ya Nobel ni kiini macho tu lakini Ayib anatumia na nchi za kibeberu wanaotaka ile Horn of Afrika yenye mafuta na gesi.
Mashirika na makampuni ya kibeberu yapo nyuma ya kampeni zake za kuweka rasilimali za nchi kama ardhi, mashirika ya umma na miundombinu vyote kubinafsisha kwa mabeberu.
Haya mambo yataka upembuzi yakinifu sana ili kuyaelewa.
Tundu Lissu na Abiy Ahmed wote ni vibaraka wa nchi za kibeberu.
Wa tigray ndipo anapotokea SHEBA ALIYEZAA NA SOLOMONI MTOTOtwaye MENELIK,wanadai pia sanduku la agano la ahadi lipo kwao waliiba toka jerusalem,wamewafanya makabila mengine ya ethiopia watumwa kwa miaka mingi sana hadi mwaka 1931 ilipkomeshwa KWA KIFUPI WA TIGRAY WANAAMINI WAO NI SUPERIOR,Uki refer story ya menelik the first kufia mlima kilimanjaro,waethiopia(tigray)hadi leo wanadai kuna nchi yenye mlima mrefu ipo kusini kwetu(ethiopia)hiyo nchi ina mlima mrefu kaskazini na mto mkubwa kusini(rufiji)ni mali yetu kuna siku tutarudi kuitawala....refer jamaa walivyojaa kaskazini mwa tanzania kuanzia usa river hadi bomang'ombe walikimbia civil war ya 1916....uliza wachaga story za enzi na enzi kwamba kilemakyaro ni kaburi la mfalme mashuhuri..kuna pete ya mflame selemani pale aliyokufa nayo menelik the first..WA TIGRAY NI WAJIVUNI SANA ila ndiyo warembo,wana akili na wamesoma sana na wana akili konki mnooo..waziri mkuu ni mu omoro.Tundu Lissu ameingia kwasababu alikuwa ataka kufanya afanyayo Abiy sasa hivi.
Ile tuzo ya Nobel ni kiini macho tu lakini Ayib anatumia na nchi za kibeberu wanaotaka ile Horn of Afrika yenye mafuta na gesi.
Mashirika na makampuni ya kibeberu yapo nyuma ya kampeni zake za kuweka rasilimali za nchi kama ardhi, mashirika ya umma na miundombinu vyote kubinafsisha kwa mabeberu.
Haya mambo yataka upembuzi yakinifu sana ili kuyaelewa.
Tundu Lissu na Abiy Ahmed wote ni vibaraka wa nchi za kibeberu.