Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Huyo ni mtuhumiwa mtarajiwa wa ICC. File lake lipo pazuri sana na jiandaeni tu na iyo nyundochadema hamtaamini kitakacho tokea mwisho wa hili sakata, lazima jpm awa prove wrong eu na wote wanaoiwazia mabaya nchi yetu. Nchi hii ina Mungu ndugu zangu tofauti na tunavyo dhani, tumekwepa mengi sana yaliyokua yanafikiliwa km yangetuvuruga kabisa lakini tumevuka na chadema mkiwa mashahidi lakini bado hamjifunzi kuweka akiba ya maneno
Ushindi ashinde Lisu? MaviiiWamemuangushaje wakati mmempola ushindi wake???
Hahahahah huo ndo ukweliUshindi ashinde Lisu? Maviii
Sasa azimio si kinaweza kukataliwa au kukubaliwa?Kwa iyo kwa akili yako unafikiri walijadili ili iweje??? Hujui kuwa kamati zinapelekaga mapendekezo bungeni kwa ajili ya bunge kufanya maazimio????
Una elimu gani we mtu??? Au unashabikia tu siasa na hujui mifumo ya kisiasa inavyofanya kazi???
Salary kama unawahudu wazungu kiasi hicho hadi kutweza utu wako ni kwa nini usiende ukaolewe nao hao wazungu ili roho yako itulie?Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.
Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.
Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.
Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.
Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.
Awamu hii ni shida tupu!
No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Kwa iyo unadhani lile bunge ni kama la Ndugai kwamba linaweza kataa maoendekezo konki ya ile kamati??? Subirini sasa muoneSasa azimio si kinaweza kukataliwa au kukubaliwa?
Na kwa hiyo hizo kamati zilipopeleka mapendekezo hilo bunge limekuja na azimio gani?
Sasa kwanini usiweke hayo maazimio hapa?Kwa iyo unadhani lile bunge ni kama la Ndugai kwamba linaweza kataa maoendekezo konki ya ile kamati??? Subirini sasa muone
Mbali na neno BeberuWazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.
Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.
Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.
Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.
Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.
Awamu hii ni shida tupu!
No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Ingawa mnabeza hao wahisani sometimes kuitwa mabeberu lakini naamini mnaelewa uhalisia. Bado tunawahitaji wahisani kupiga hatua lakini upande wa pili misaada yao inaambatana na mambo mengi ambayo yana mlengo wa kibeberu ndio maana kila utachofanya ambacho hawafurahii watakuchapia misaada yao.Umoja wa mabeberu haujafuta misaada?[emoji23]
Soma kwa makini postPILI BUNGE LA ULAYA WABUNGE 705 SIYO 71
Propoganda yako balozi ni failure.Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.
Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.
Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii
Zaidi soma:
Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?
Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...www.jamiiforums.com
View attachment 1630332
Hahah aiseee...Mwisho wa kunukuu.View attachment 1630405
Ingependeza na kuaminika zaidi kama hayo yangesemwa na Ubalozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini lakini kutolewa na Balozi wetu, muunga juhudi, nchini kwa mabeberu inatia shaka. Awamu hii ni kukanusha kila kitu!Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.
Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.
Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii
Zaidi soma:
Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?
Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...www.jamiiforums.com
View attachment 1630332
Mwambie Mr Mzungu awe na shukrani kwa nchi yake, aache kujimwambafai; vinginevyo ataendelea kushindwa uchaguzi kila msimu wa uchaguzi na kukimbilia kwa Bob Amsterdam.Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.
Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.
Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.
Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.
Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.
Awamu hii ni shida tupu!
No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.