Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

Wezi ni akina Mr Mzungu ambao si wazalendo hata kidogo, wanataka kuchuuza na kugawa rasilimali za Watanzania kwa mabeberu wao. Hii sijawahi kuona popote. Historia itamkumbuka vibaya sana huyo kibaraka na kuwadai wa Bob.
Poole kama hujawai kuona popote ni kwa sababu Tanzania tulizoea kuwa nchi ya Amani na utulivu ( So usingweza ona matokeo ya uchafuzi huu). Chaguzi zoote zilifanyika bila kumwaga damu au kuiba kura kama ilivyofanyika mara hii . Ngoja nikusaidie sehemu nyingine duniani mambo kama haya yamefanyika Uganda, Sudan,Cameroon na Ivory Cost. Mmeyataka wenyewe sasa angalia mlivyotuvua nguo. Jiulize wafadhili (Mabeberu)zaidi ya 71 wamekaa kikao wanajadili mauaji na wizi wa kura katika nchi iliyokuwa inaaminika kwa amani na uaminifu wa hali ya juu
 
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.

Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.

Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii

Zaidi soma:

Hivi MATAGA kwanini hamjihangaishi kuficha upumbavu wenu? Habari ingekuwa "Ubalozi wa EU Tanzania wakanusha..." Sasa what did you expect from huyo Balozi wa Tanzania huko Ubelgiji? Aseme kwamba EU wapo sahihi kudai fedha zao au kutishia kukata misaada? Kama Balozi Sokoine alirudishwa nyumbani kwa "kosa" la kumtembelea Lissu hospitali, huyu asingejikomba so angerudishwa hata kesho?

Tatizo la huyo Balozi ni kuwafanya Watanzania maf*la, kwamba hawakuelewa kilichoongewa na hiyo kamati ya Bunge la Mabeberu, ndo maana yeye mheshimiwa sana balozi ndio mwenye uwezo wa kutuelimisha.

Mlipaswa kujiuliza kwanini Watanzania wengi wanafurahia taarifa hiyo? Msipende kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu
 
Kwa akili yako ulitaka hao wabunge 71 wachangie kwa siku moja? Hao watano wamewakilisha mawazo ya wenzao, subiri vikwazo vinakuja mlipie dhuluma yenu
Kwani Dodoma ni wabunge wangapi hajadili maswala ya kipuuzi na kupitishwa na wengi? Sana sana utasikia Kibajaji, Prof. Msukuma, Hamis Dewj(MO), Nape au Goodluck (Kichwa maji) arafu kazi ya wengine kama Zungu, Chenge n.k ni kupiga makofi tu
 
Tanzania hakuna shida ya chakula labda kama mtu ahitaji kwashakoo mwenyewe.

Wazungu wana hiyo kitu kwa sababu ya mazingira ya kuwa na tamaduni ya choyo na ubaguzi.

Kwa asili, wazungu hawatupendi sisi waafrika na nashangaa sana watu hapa wanapowasogelea karibu kabisa kwenye eneo la tukio hawa wazungu na kujipendekeza huku na huko.

Wanachofanya ni kutafuta watu wao maalum wa kuwatumia kama Tundu Lissu na wengine ili kutaka kutimiza malengo yao ya kuendelea kuturudisha nyuma.

Ipo video itafute youtube yaelezea jinsi wazungu wanavyojadili kwamba Afrika ni lazima iendelee kuwa nyuma kimaendeleo ili kuendelea kulifaidisha bara ya Ulaya.

Itafute hiyo video uitazame, ukipata muda.
ARV kwa mwezi gharama yake $150-170 wazungu wanatupa bure na kwa mwaka watu 72,000 wanaambukizwa HIV ...mnaweza kununua????
 
Kwanza , hakuna dawa ya ukimwi na bado haijapatikana.

Pili, hiyo ni biashara na hizo dawa zingine zinafanya kazi mbili majaribio na kukupa umaskini zaidi kwa gharama zake hizo.

Hivyo, kinachotakiwa hapo ni utafiti wa dawa za asili kama mchemsho wa kabeji na zingine.

Halafu watanzania wapunguze ngono za bila ndoa, ngono za utotoni na kwa wale wanafunzi mashuleni na vyuoni kusoma kwa bidii na kwa waloajiriwa kufanya kazi kwa bidii.

Mbona tangawizi ni mali sasa hiv kwa mvuke wake kuleta ahueni?
 
IMG_5605.jpg

IMG_5604.jpg
 
Poole kama hujawai kuona popote ni kwa sababu Tanzania tulizoea kuwa nchi ya Amani na utulivu ( So usingweza ona matokeo ya uchafuzi huu). Chaguzi zoote zilifanyika bila kumwaga damu au kuiba kura kama ilivyofanyika mara hii . Ngoja nikusaidie sehemu nyingine duniani mambo kama haya yamefanyika Uganda, Sudan,Cameroon na Ivory Cost. Mmeyataka wenyewe sasa angalia mlivyotuvua nguo. Jiulize wafadhili (Mabeberu)zaidi ya 71 wamekaa kikao wanajadili mauaji na wizi wa kura katika nchi iliyokuwa inaaminika kwa amani na uaminifu wa hali ya juu
Hao kiu na uchu wa rasilimali zetu JPM kakata ndiyo maana wana hasira za Bob Amsterdam. Usidhani Mzungu anakupenda na atakuletea maendeleo.
 
Hivi MATAGA kwanini hamjihangaishi kuficha upumbavu wenu? Habari ingekuwa "Ubalozi wa EU Tanzania wakanusha..." Sasa what did you expect from huyo Balozi wa Tanzania huko Ubelgiji? Aseme kwamba EU wapo sahihi kudai fedha zao au kutishia kukata misaada? Kama Balozi Sokoine alirudishwa nyumbani kwa "kosa" la kumtembelea Lissu hospitali, huyu asingejikomba so angerudishwa hata kesho?

Tatizo la huyo Balozi ni kuwafanya Watanzania maf*la, kwamba hawakuelewa kilichoongewa na hiyo kamati ya Bunge la Mabeberu, ndo maana yeye mheshimiwa sana balozi ndio mwenye uwezo wa kutuelimisha.

Mlipaswa kujiuliza kwanini Watanzania wengi wanafurahia taarifa hiyo? Msipende kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu
1. Kwani hao wabunge wako wamesemaje cha maana, zaidi ya kuonesha kwamba Tanzania haina korona??? Walisemaga pia maiti za raia wetu wangeokotwa wamekufa kama kuku babarani. Sasa wanaaibika vibaya! JPM kawapa knockout!

2. Hakuna hata Mtanzania mmoja anayefurahia kitendo hiki cha mabeberu kumendea na kumea mate rasilimali zetu na kutafuta kuleta machafuko Tanzania ili kumwingiza madarakani kibaraka wao.
 
Meko Mwezi Mei: "Mungu ametuponya na Corona, Tanzania hakuna Corona angalia mataifa mengine yanavyohangaika, Lakini leo hii sisi HAKUNA mtu anavaa Mask hapa".

Meko September : Tumepokea Euro Mil. 27 kupambana na Corona.[emoji1782]
 
Kwanza , hakuna dawa ya ukimwi na bado haijapatikana.

Pili, hiyo ni biashara na hizo dawa zingine zinafanya kazi mbili majaribio na kukupa umaskini zaidi kwa gharama zake hizo.

Hivyo, kinachotakiwa hapo ni utafiti wa dawa za asili kama mchemsho wa kabeji na zingine.

Halafu watanzania wapunguze ngono za bila ndoa, ngono za utotoni na kwa wale wanafunzi mashuleni na vyuoni kusoma kwa bidii na kwa waloajiriwa kufanya kazi kwa bidii.

Mbona tangawizi ni mali sasa hiv kwa mvuke wake kuleta ahueni?
Kwani HIV inaambukizwa kwa ngono tu..kuna watu wamezaliwa nao pathetic
 
ARV kwa mwezi gharama yake $150-170 wazungu wanatupa bure na kwa mwaka watu 72,000 wanaambukizwa HIV ...mnaweza kununua????
Ni 300$ -600$ Kwa Dolutegravir combination ambayo ndio iko sokoni kama first line! Ajabu watu wako huko bongo wanaropoka tu Kuwait's watu mabeberu na msaada ukikatwa itakuwa mtafutano
 
Kwanza , hakuna dawa ya ukimwi na bado haijapatikana.

Pili, hiyo ni biashara na hizo dawa zingine zinafanya kazi mbili majaribio na kukupa umaskini zaidi kwa gharama zake hizo.

Hivyo, kinachotakiwa hapo ni utafiti wa dawa za asili kama mchemsho wa kabeji na zingine.

Halafu watanzania wapunguze ngono za bila ndoa, ngono za utotoni na kwa wale wanafunzi mashuleni na vyuoni kusoma kwa bidii na kwa waloajiriwa kufanya kazi kwa bidii.

Mbona tangawizi ni mali sasa hiv kwa mvuke wake kuleta ahueni?
Hiyo dawa ya asili mbona inakua story kusema mnaweza kutumia asili ilhali mwakani ugonjwa unafunga miongo 3 kamili na hizo dawa asili bongo hamjaja Nazo kama suluhisho au ndio oile kikombe walichoenda kunywa viongozi 2011?
 
Mbona anajibu Kama bike kashikiwa mtutu wa bunduki akilazimishwa kusema?
 
Hao kiu na uchu wa rasilimali zetu JPM kakata ndiyo maana wana hasira za Bob Amsterdam. Usidhani Mzungu anakupenda na atakuletea maendeleo.
Hujaeleweka mkuu, kuna uhusiano gani kati ya uchafuzi uliofanyika kwenye uchaguzi wetu na Mabeberu . Kwa hiyo wizi wa masanduku ya kupigia kura na mauaji ya wananchi huko zbr achilia mbali kuwanyanyasa wapinzani kabla na baada ya uchaguzi ilikuwa ni kwa ajili ya kupambana na Mabeberu wenye uchu? mbona hakuna mlingano hapa hivi ni vitu viwili tofauti. Yuache kuwasingizia Mabeberu kila kitu
 
Back
Top Bottom