Ubandue wa wenzio tuuu, wako asibanduliwe? Haipo hiyo!!

acha uongo eve,,, kwani wa kwake nani kamvurugia,,mbona hapa mjini kuna watu wanapiga wake za watu lakini wa kwao wapo salama?
 
Hahahaa, ndoa hizi ngoja tuwe watazamaji kwanza...
 
Kwan usipotafuna mke wa mtu mke wako hatatafunwa?
Hapa ni mwendo wa kutafuna tu hata wakwangu akitafunwa poa tu maana siwez kumzuia kutafunwa
 
Jamani kuna wanawake wambea.
Yaani wewe kukusimulia siku moja tu ndiyo umekuja kuwasimulia wenzako huku?

Je ungeiona hiyo inayomtetemesha mwenzako si ungechapisha kitabu kabisa?
kwe kwe kwe kwe au angetunga na tamthiliya
 
Ukiona wako naliwa na wewe tafuta mnyonge ummegee-MWANA FA
 
Kwan usipotafuna mke wa mtu mke wako hatatafunwa?
Hapa ni mwendo wa kutafuna tu hata wakwangu akitafunwa poa tu maana siwez kumzuia kutafunwa
Ukiona wako analiwa na wewe tafuta mnyonge ummegee-MWANA FA
 

Sikiliza hii, alafu ndo utajua- www.youtube.com/watch?v=WDJRM-CO2Pw
 
Ha ha ha hizo punje za staili hiyo hajanipata

huyo bila shaka alikuwa dreva wa magari makubwa ya mizigo au lori.

Maana wanawake wengi wanapenda kupanda hizo gari hasa wale wanaosafir safar za mbali kwasababu wanapunguziwa nauli. Hao jamaa hatar sana kwa mwanamke. Kama ni hyo hapo na ww kakuandalia kibla
 
Hapa

Hapa nilipo, nimefunfa hapafai kila unamtokea anakwambia siko marie... ukimuuliza juu ya nini anakwambia basi tu sipendake banaume... sa nyingine hata nashangala juu ya nini likuitikiaga weye vite.... ila mwai masiku hata naona sikukosea juu unanifanya bien.... ha!! kumbe mke wa Mtu
 
Hahaha kumbe hataki ajulikane kuwa yuko marie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…