Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Ambayo inasemaje ujumbe wake.Surah ya mapepo au majini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambayo inasemaje ujumbe wake.Surah ya mapepo au majini
Mapepo yamemkubali Muhammad kama ni mtume wao na yamemkubali Koran ni kitabu chao na Uislamu ni dini yaoAmbayo inasemaje ujumbe wake.
Kuna ubaya gani, kwani wao sio viumbe wenye utashi kama sisi?.Mapepo yamemkubali Muhammad kama ni mtume wao na yamemkubali Koran ni kitabu chao
Vizuri umekiri mapepo ni waislamuKuna ubaya gani, kwani wao sio viumbe wenye utashi kama sisi?.
Bali wapo wakristo na wapagani pia.Vizuri umekiri mapepo ni waislamu
Hakuna Pepo mkristoBali wapo wakristo na wapagani pia.
"Na hakika kuna katika sisi waislamu, na kuna kati yetu wanaoacha haki, basi yule aliyejisalimisha hao ndio waliotafuta uongofu."
72:14
sawa.Hakuna Pepo mkristo
Ni uzushi gani umeuona kwa hao watu Mis nao, ?Hakika watu wote tungefuata kanuni za Mungu dunia isingekua hapa ilipo maana hata kwenye ukristo Mungu kwenye amri zake akataa tusiseme uongo na tusishuhudie uongo lakini sisi binadamu sasa ni wazushi wa mambo ya uongo hatari, Eeeh Mungu atusamehe kwa ujinga huu.
Bila shaka hujanielewa mleta uzi katoa mfano vile watu walimzushia huyo mwanamama,na akasema kwenye uislam kusema jambo ambalo Huna uhakika nalo ni vibaya, nami nikajaribu kueleza hata kwenye ukristo tunafundishwa tusiseme uongo wala kushuhudia uongo hivyo watu tumekengeuka tumeacha kufanya maagizo ya as Mungu na binadamu tumekuwa wazushi wa maneno.Ni uzushi gani umeuona kwa hao watu Mis nao, ?
Uweke hapa tuusome.
Hivi mtu maarufu kama Aisha, mke bora wa Nabii.Bila shaka hujanielewa mleta uzi katoa mfano vile watu walimzushia huyo mwanamama,na akasema kwenye uislam kusema jambo ambalo Huna uhakika nalo ni vibaya, nami nikajaribu kueleza hata kwenye ukristo tunafundishwa tusiseme uongo wala kushuhudia uongo hivyo watu tumekengeuka tumeacha kufanya maagizo ya as Mungu na binadamu tumekuwa wazushi wa maneno.
Mtu akisikia jambo atalikomalia kana kwamba Ana uhakika nalo, ndo maana akatolea mfano wa jiwe ni jinsi gani watu walivyozusha kua jamaa anapoteza watu kwenye viroba lakini ukiuliza wanaozungumza bila shaka hata wao hawana uhakika ila ni ule uzushi wa watu tu.
Siko hapa kubishana mkuu, hii story ya Aisha ndo mara ya kwanza kusoma hapa mimi ni mkristo why nibishe then nipate nini? Nafikiri mimi nimejifunza jambo hapa liwe la uongo ama ukweli tunarudi pale pale tusizushe vitu tusivyokua na uhakika navyo mwisho.Hivi mtu maarufu kama Aisha, mke bora wa Nabii.
Unaweza kuamini kuwa alisahauliwa kwenye msafara ?
Yaani dereva wake anaondoa gari la farasi wakati Malkia hayupo.
Hadi mtume aingie shaka
Inaingia akilini kweli ?
Ukisikia habari kwenye huo upande uwe mwangalifu sana.
Kuna fixtures za kutosha.
Sawa.Siko hapa kubishana mkuu, hii story ya Aisha ndo mara ya kwanza kusoma hapa mimi ni mkristo why nibishe then nipate nini? Nafikiri mimi nimejifunza jambo hapa liwe la uongo ama ukweli tunarudi pale pale tusizushe vitu tusivyokua na uhakika navyo mwisho.
Ngoja nikupe hints kidogo , muislamu akikueleza jambo anatumia uongo mtakatifu unaitwa takiya na wameruhusiwa na mungu wao AllahSiko hapa kubishana mkuu, hii story ya Aisha ndo mara ya kwanza kusoma hapa mimi ni mkristo why nibishe then nipate nini? Nafikiri mimi nimejifunza jambo hapa liwe la uongo ama ukweli tunarudi pale pale tusizushe vitu tusivyokua na uhakika navyo mwisho.
Binafsi nimependa jinsi ulivyo jipambanua.Siko hapa kubishana mkuu, hii story ya Aisha ndo mara ya kwanza kusoma hapa mimi ni mkristo why nibishe then nipate nini? Nafikiri mimi nimejifunza jambo hapa liwe la uongo ama ukweli tunarudi pale pale tusizushe vitu tusivyokua na uhakika navyo mwisho.
Hhhhhhhh ndo ivo yaniUsionge kaka ila mke mpe mpaka aseme basi[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah umempiga za uso uyo chalii apoSiko hapa kubishana mkuu, hii story ya Aisha ndo mara ya kwanza kusoma hapa mimi ni mkristo why nibishe then nipate nini? Nafikiri mimi nimejifunza jambo hapa liwe la uongo ama ukweli tunarudi pale pale tusizushe vitu tusivyokua na uhakika navyo mwisho.
Kampiga nani tena.Dah umempiga za uso uyo chalii apo
Nampa pole kwa niaba ya wengine
Punguza hasira kijanaKaampiga nani tena.
Huyo hajui chochote juu ya Uislamu.
Hajui Aya wala hadithi yoyote.
Hata Qurani yenyewe hajawahi kuisoma kama sio kuishika.
Mwambie asome Sura moja kwa ya Qurani kwa kiarabu na kusema maana yake kama ataweza.
Anachukulia mambo kuijumla jumla tu.
Sina hasira na kitu nisicho kithamini. Naujua vizuri kupita wewe.Punguza hasira kijana
Ww huo Uislamu hauujui usimseme mwenzako tu
Sitaki ubishani