Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Msonjo upo sahihi kabisa ,,,wengi hatuelewi Jambo hili,,kudhihirisha uovu Ni Uovu mkubwa ..Ni kawaida kumkuta kijana anawasimulia wenzake uzinzi aliofanya au anasifia utamu wa pombe aliyokunywa....haifai kabisa📌📌Dhami kila mtu anafanya dhambi, lakini kudhihirisha kuwa unafanya madhambi basi hii ni dhambi kubwa zaidi.
Na mtu anatakiwa ajutie na kutubia kwa madhambi aliyoyafanya na sio kuona ni kawaida au kujifakha