Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Ahahaha mwamba anakwambia anatamani apate ukhty wa kueleweka, kumbe ukhty mwenyewe ni jamaa yangu hapo juu.Humu ndani sometimes kuna vituko sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha mwamba anakwambia anatamani apate ukhty wa kueleweka, kumbe ukhty mwenyewe ni jamaa yangu hapo juu.Humu ndani sometimes kuna vituko sana.
Ndio hivyo ndugu lkn ndio tunaelimishana hivyoHumu ndani sometimes kuna vituko sana.
Ushamba umeninyima fursa,,, ilibidi nifanye Chap kule Pm Yake ili nimle hela ,,, akiniomba picha nimtumie ya baby zu.... Ha ha haAhahaha mwamba anakwambia anatamani apate ukhty wa kueleweka, kumbe ukhty mwenyewe ni jamaa yangu hapo juu.
HhhhhhhhhhhAhahaha mwamba anakwambia anatamani apate ukhty wa kueleweka, kumbe ukhty mwenyewe ni jamaa yangu hapo juu.
Hhhhhhhhh sio kirahisi ivoUshamba umeninyima fursa,,, ilibidi nifanye Chap kule Pm Yake ili nimle hela ,,, akiniomba picha nimtumie ya baby zu.... Ha ha ha
Unajisikiaje unapopita njiani ukakutana na banati zimefunika mwili wote... Hakika Ni raha tupu japo humjui...huku Pm ningekutumia picha za Wema sepetu akiwa kwenye Niqab ,,ningekula vihela vyako mpk basiHhhhhhhhh sio kirahisi ivo
Hahahahaha muache Akhi bhana.Ushamba umeninyima fursa,,, ilibidi nifanye Chap kule Pm Yake ili nimle hela ,,, akiniomba picha nimtumie ya baby zu.... Ha ha ha
Hahahaha kwamba asituchukulie poa hatutapeliki kirahisi.Hhhhhhhhh sio kirahisi ivo
Hahah eti banati.Unajisikiaje unapopita njiani ukakutana na banati zimefunika mwili wote... Hakika Ni raha tupu japo humjui...huku Pm ningekutumia picha za Wema sepetu akiwa kwenye Niqab ,,ningekula vihela vyako mpk basi
Dah ttzo hatujuani ndo mna unasema ivo mm pesa yangu ni yangu mkuuUnajisikiaje unapopita njiani ukakutana na banati zimefunika mwili wote... Hakika Ni raha tupu japo humjui...huku Pm ningekutumia picha za Wema sepetu akiwa kwenye Niqab ,,ningekula vihela vyako mpk basi
Hebu tubandikie nyuzi Akhy sisi wengine hatupo kwenye mambo ya Argentina vs Morocco....Hhhhhhhhhhh wacha tufurahi
Huyu mtu naomba mumpuuze kichwa yake haipo vizurMuhammad ataka kumuacha mke
alitaka kumuacha mke kisa kawa mnene mpaka mke kaamua kutoa zamu yake ya ngono kwa Aisha katoto cha 9yrs
Mmoja wa wake wengi wa Muhammad (alikuwa na angalau wake tisa wakati mmoja, ingawa Qur'an 4: 3 inasema Waislamu ni wake wanne mwisho) alikuwa mwanamke aitwaye Sauda bint Zama'ah. Kama mzee Sauda, aliwahi kuwa mnene kupindukia sana, na Muhammad aliamua kumsaliti. Akiogopa kuwa ameachwa katika uzee wake, Sauda alipanga mpango. Alijua kwamba Aisha alikuwa mke wa Muhammad, na kwamba Muhammad angependa kutumia muda zaidi na Aisha. Kwa hivyo Sauda alimwambia Muhammad kuwa, kama angeweza kumuweka kama mke wake na kuto kumuacha, atampa usiku wa ngono kwa Aisha. Hivyo, Muhammad angeweza kutumia mara mbili kwa muda mrefu na Aisha. Muhammad alikuwa na furaha na utaratibu, na pia Allah, ambaye alifunua Surah 4, mstari wa 128:
Hadith ni zenu waislamu na sio zanguHuyu mtu naomba mumpuuze kichwa yake haipo vizur
Wewe umeweka Hadith ya katoto Aisha kuchepuka , Kuna mtu amekwambia kichwa Yako haipo vizuri , embu tulia tulite visa vya MuhammadHuyu mtu naomba mumpuuze kichwa yake haipo vizur
Hawa watu mtoa mada mngekuwa mnawaignore ili wasione hizi mada wakaleta haya matusi yao.Muhammad ataka kumuacha mke
alitaka kumuacha mke kisa kawa mnene mpaka mke kaamua kutoa zamu yake ya ngono kwa Aisha katoto cha 9yrs
Mmoja wa wake wengi wa Muhammad (alikuwa na angalau wake tisa wakati mmoja, ingawa Qur'an 4: 3 inasema Waislamu ni wake wanne mwisho) alikuwa mwanamke aitwaye Sauda bint Zama'ah. Kama mzee Sauda, aliwahi kuwa mnene kupindukia sana, na Muhammad aliamua kumsaliti. Akiogopa kuwa ameachwa katika uzee wake, Sauda alipanga mpango. Alijua kwamba Aisha alikuwa mke wa Muhammad, na kwamba Muhammad angependa kutumia muda zaidi na Aisha. Kwa hivyo Sauda alimwambia Muhammad kuwa, kama angeweza kumuweka kama mke wake na kuto kumuacha, atampa usiku wa ngono kwa Aisha. Hivyo, Muhammad angeweza kutumia mara mbili kwa muda mrefu na Aisha. Muhammad alikuwa na furaha na utaratibu, na pia Allah, ambaye alifunua Surah 4, mstari wa 128:
Hii ndio dhana mbaya ambayo inazungumziwa katika uzi, tosheka na alichokisema, mdhali huna ushahidi na unachokisema, hivyo usipekuepekue mambo.wewe umejuaje kama kuna uzi wenye hilo jina kama sio kupita kusoma mabaharia wanavyotiririka kule
Anyway mimi sio mtukufu na nakili ni mtenda madhambi inafika hatua nakili kabisa nimepotea
Tumekubaliana hamna kudhaniana kwenye ubaya... Halafu haifai kudhihirisha uovu ,,na ukitenda uovu Ni juu Yako kutubia kwa Allah ...lililosahihi Ni juu yetu Mimi na wewe kutubia makosa yetu... Lkn haifai kutangaza uovu wetu kwa namna yoyote ile....wewe umejuaje kama kuna uzi wenye hilo jina kama sio kupita kusoma mabaharia wanavyotiririka kule
Anyway mimi sio mtukufu na nakili ni mtenda madhambi inafika hatua nakili kabisa nimepotea
Ayo sio matusi ni Hadith Sahih zenu waislamu, Pinga hoja kwa fact kwamba hiyo sio Hadith yenuHawa watu mtoa mada mngekuwa mnawaignore ili wasione hizi mada wakaleta haya matusi yao.