Ubaya wa kuwa na dhana mbaya kwa Binadamu wenzako

Kwhy hapo kwenu Kuna mahakama inayopokea ushahidi wa mtu mmoja,,,akili Hizi hivi huwa mnapeleka wapi
Unamuomba wife wako aindelee kupigwa machine ukatafute mashahidi wa 4,, 🤣

Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,

Ukimfumania mke, Muhammad anasema waombe waendelee ukatafute mashahidi wafike wa4 😂 🤣
 
Sawa tunakushukuru kwa mchango wako baki na msimamo wako
Ni maoni tu mkuu haupaswi kuniamini wala kunishawishi niamin vitabu vya watu wakale waliokuwa hawajastarabika kama watu wa Leo hii.
 
Nje ya mada ndugu naomba unikumbushe kisa Cha Ummu Salama (radhiaLLAHU Anhu) baada ya kufiwa na mumeo na jinsi alivyokuja kuolewa na mtume....@Nyoka ..mzee
Huyu alikuwa ni mke wa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).

Huyu mama yetu alikuwa na Mumewe alikuwa akiitwa Abuu Salama. Abuu Salama alikwenda vitani kwaajili ya kuipigania dini tukufu ya kiislam.

Kwa bahati mbaya kwa Abuu Salama akauwawa vitani. Wakati msafara unarudi kutoka vitani farasi aliekuwa akitumiwa na Abuu Salama alionekana anarudi akiwa pekee yake.

Basi Mama yetu Ummu Salama alipomuona tu yule farasi akajua tu kuwa mumewe amekwisha fariki katika vita, na ndugu zangu kawaida mtu akifia vitani anakuwa shahidi na huzikwa hukohuko ktk viwanja vya vita.

Basi Mama yetu Ummu Salama kama kawaida akakaa eda yake hiyo muhimu.
Alipo maliza eda alianza kutafuta mtu wa kuja kuziba nafasi ya mumewe Abuu Salama.

Na kiukweli alipendelea Sana aolewe na kati ya vidume viwili katika uislamu yaani Sayyidna Abubakar Siddiq au Sayyidna Omary bin khatwab (Radhi za Allah ziwe juu yao watukufu hawa).

Wanawake wa zamani walikuwa WachaMungu sana na hivo Mama yetu Ummu Salama aliamua kuwafuata wawili hawa kwa nyakati tofauti na kuwaeleza dhamira yake ya kuhitajia ndoa kutoka kwa mmoja kati yao.

Kiukweli Abubakar na Omar hawakutaka kumuoa Mama yetu huyu japo hawakumtamkia kuwa hawataki lakini walimtumilia lugha yenye hekma.

Basi Mama Ummu Salama baada ya kuona wawili hawa wanampotezea ombi Lake, akaamua kwenda kuwa shitaki kwa mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).

Alipo washitaki kwa Mtume na kumueleza mtume kuwa dhamira yake kutaka kuolewa ni kuwa alihiitaji mauti yamkute haliyakuwa ana mume. Mtume (Swalla Allaahu Aleyhi Wa Salam) akamjibu kuwa achana nao hao kama wana kuzungusha na kukupotezea. Mtume akamsihi Mama yetu huyu awe na subra, na akamwambia tulizana Mama Ummu salama huwenda utakuja kuolewa na mtu bora sana katika dunia hii kuliko Abubakar na Omar.

Subhana Allah, je unamjua mtu bora kuliko wote duniani alie kuja kumuoa Mama yetu huyu Ummu salama? Si mwingine ni mtukufu wa darja na kipenzi nambari moja cha Allah Subhana Wa Ta'ala Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).

Baada ya kuolewa, Mama yetu Ummu salama akawauliza Abubakar na Omar, "ninyi wawili kwanini mlikuwa hamtaki kunioa mimi?”

Wakamjibu "tulimsikia mtume akikutaja kwa Khery sasa tukaamua kukaa kimya ili tusije kuharibu alipopenda kipenzi cha umma".
Mama yetu huyu aliposkia hayo alifurahi Sana na hapo akapata kuwaelewa Abubakar na Omar.
 
Unamuomba wife wako aindelee kupigwa machine ukatafute mashahidi wa 4,, 🤣

Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,

Ukimfumania mke, Muhammad anasema waombe waendelee ukatafute mashahidi wafike wa4 😂 🤣

Huyu alikuwa ni mke wa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).

Huyu mama yetu alikuwa na Mumewe alikuwa akiitwa Abuu Salama. Abuu Salama alikwenda vitani kwaajili ya kuipigania dini tukufu ya kiislam.

Kwa bahati mbaya kwa Abuu Salama akauwawa vitani. Wakati msafara unarudi kutoka vitani farasi aliekuwa akitumiwa na Abuu Salama alionekana anarudi akiwa pekee yake.

Basi Mama yetu Ummu Salama alipomuona tu yule farasi akajua tu kuwa mumewe amekwisha fariki katika vita, na ndugu zangu kawaida mtu akifia vitani anakuwa shahidi na huzikwa hukohuko ktk viwanja vya vita.

Basi Mama yetu Ummu Salama kama kawaida akakaa eda yake hiyo muhimu.
Alipo maliza eda alianza kutafuta mtu wa kuja kuziba nafasi ya mumewe Abuu Salama.

Na kiukweli alipendelea Sana aolewe na kati ya vidume viwili katika uislamu yaani Sayyidna Abubakar Siddiq au Sayyidna Omary bin khatwab (Radhi za Allah ziwe juu yao watukufu hawa).

Wanawake wa zamani walikuwa WachaMungu sana na hivo Mama yetu Ummu Salama aliamua kuwafuata wawili hawa kwa nyakati tofauti na kuwaeleza dhamira yake ya kuhitajia ndoa kutoka kwa mmoja kati yao.

Kiukweli Abubakar na Omar hawakutaka kumuoa Mama yetu huyu japo hawakumtamkia kuwa hawataki lakini walimtumilia lugha yenye hekma.

Basi Mama Ummu Salama baada ya kuona wawili hawa wanampotezea ombi Lake, akaamua kwenda kuwa shitaki kwa mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).

Alipo washitaki kwa Mtume na kumueleza mtume kuwa dhamira yake kutaka kuolewa ni kuwa alihiitaji mauti yamkute haliyakuwa ana mume. Mtume (Swalla Allaahu Aleyhi Wa Salam) akamjibu kuwa achana nao hao kama wana kuzungusha na kukupotezea. Mtume akamsihi Mama yetu huyu awe na subra, na akamwambia tulizana Mama Ummu salama huwenda utakuja kuolewa na mtu bora sana katika dunia hii kuliko Abubakar na Omar.

Subhana Allah, je unamjua mtu bora kuliko wote duniani alie kuja kumuoa Mama yetu huyu Ummu salama? Si mwingine ni mtukufu wa darja na kipenzi nambari moja cha Allah Subhana Wa Ta'ala Mtume Muhammad (Swalla Allaahu Aleyhi wa salam).

Baada ya kuolewa, Mama yetu Ummu salama akawauliza Abubakar na Omar, "ninyi wawili kwanini mlikuwa hamtaki kunioa mimi?”

Wakamjibu "tulimsikia mtume akikutaja kwa Khery sasa tukaamua kukaa kimya ili tusije kuharibu alipopenda kipenzi cha umma".
Mama yetu huyu aliposkia hayo alifurahi Sana na hapo akapata kuwaelewa Abubakar na Omar.
baby zu pitia hapa ,,mzee wetu anakumbuka hivi visa adhwiim ,,kabisa Kazakh destroyer pita hapa
 
Ma shaa allah
 
Akhy samahani nimepata shida kidogo kukujulisha PM ili urekebishe, nadhani system inashida.

Ila kuhusu hiki kisa ni vema ungekirejea vizuri maana kuna makosa, sijui ndivyo kilivyo kutoka katika chanzo ulichotumia au umekihudhurisha kwa hifdhi yako.

Usahihi ni:-
Abuu Salama hakufariki vitani, bali alifariki baada ya muda kidogo baada ya vita, kutokana na majeraha ambayo aliyapata vitani ( vita vya Uhud)

Ummu Salamah anaeleza kuwa: siku moja alimjia abuu Salamah kutoka katika majlisi ya Mtumeﷺ, akamwambia ya kuwa amesikia jambo kutoka kwa Mtumeﷺ limemfurahisha, amemsikia Mtumeﷺ akisema:-

لا يُصِيبُ أَحَدًا مِنَ الْمُسْلِمِينَ مُصِيبَةٌ فَيَسْتَرْجِعَ عِنْدَ مُصِيبَتِهِ، ثُمَّ يَقُولُ: اللَّهُمَّ أْجُرْنِي فِي مُصِيبَتِي، وَاخْلُفْ لِي خَيْرًا مِنْهَا. إِلاَّ فُعِلَ ذَلِكَ بِهِ"
Hatosibiwa na msiba yeyote katika waislamu, kisha akasema: "Ewe mola wangu, nipe ujira katika msiba wangu huu, na unipe badala yake kilicho bora zaidi" isipokuwa atafanyiwa jambo hilo.

Na pia imepokelewa katika sahih Muslim kuwa alifundishwa dua hii kwa Mtumeﷺ pale alipo mpelekea taarifa juu ya kifo cha Abuu Salamah.

Hivyo baada ya kufariki Abuu Salamah, Ummu salamah aliyasema maneno haya, lakini alikuwa akijisemea kimoyomoyo kuwa ni nani ambae ni mbora kwangu kuliko Abuu Salamah.
Lakini Allah alimpa badala aliyekuwa bora zaidi ambae ni Mtumeﷺ.

Lakini kabla ya kuposwa na Mtumeﷺ, aliposwa pia na Abuu Bakar lakini hakuikubali posa yake.
Ila alipokuja mjumbe kuleta posa ya Mtumeﷺ akamwambia: mwambie Mtumeﷺ kuwa mimi nina umri mkubwa, na nina wivu sana, na nina watoto wadogo.
Kisha Mtumeﷺ akarejesha majibu kwa kumwambia: kuhusu umri mimi ni mkubwa kwako, ama watoto wako basi Allah atawatosheleza, na ama wivu wako basi Allah atauondosha.

Hiki kisa kimetajwa pia katika sahihi Muslim.

Na Allah ndiye mjuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom