Ubaya wa kuwa na dhana mbaya kwa Binadamu wenzako

Ubaya wa kuwa na dhana mbaya kwa Binadamu wenzako

Nje ya mada ndugu naomba unikumbushe kisa Cha Ummu Salama (radhiaLLAHU Anhu) baada ya kufiwa na mumeo na jinsi alivyokuja kuolewa na mtume....@Nyoka ..mzee

Riyad as-Salihin 921
Umm Salamah (May Allah be pleased with her) reported:
I heard the Messenger of Allah (ﷺ) saying, "When a person suffers from a calamity and utters: 'Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un. Allahumma ujurni fi musibati, wakhluf li khairan minha (We belong to Allah and to Him we shall return. O Allah! Compensate me in my affliction, recompense my loss and give me something better in exchange for it), then Allah surely compensates him with reward and better substitute." Umm Salamah (May Allah be pleased with her) said: When Abu Salamah (May Allah be pleased with him) died, I repeated the same supplication as the Messenger of Allah (ﷺ) had commanded me (to do). So Allah bestowed upon me a better substitute than him (I was married to Muhammad, the Messenger of Allah (ﷺ)).

[Muslim].

وعنها قالت‏:‏ سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول‏:‏‏"‏ما من عبد تصيبه مصيبه، فيقول إن لله وإنا إليه راجعون‏:‏ اللهم آجرني في مصيبتي، واخلف لي خيرا منها، إلا آجره الله تعالي في مصيبته واخلف له خيراً منها‏.‏ قالت‏:‏ فلما توفي أبو سلمة، قلت كما أمرني رسول الله صلى الله عليه وسلم ، فاخلف الله خيراص منه رسول الله صلى الله عليه وسلم “ ‏(‏‏(‏رواه مسلم‏)‏‏)‏‏.‏

Reference : Riyad as-Salihin 921
In-book reference : Book 6, Hadith 28
 
Yani aya inasushwa kwa sababu ya aisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani aya inasushwa kwa sababu ya aisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Quran ilikuwa inashushwa kutokana na matukio mbali mbali Kwa muda WA miaka 23, na ukiwa na akili ndogo utachukulia Tu ilishushwa Kwa AJILI ya Aisha.

Lakini dhumuni kubwa ni kukemea uzushi ambao unazushwa na wanadamu katika Maisha Yao ya kila siku,kwahiyo Kwa Aisha (r.a) ilikuwa ndio kilele cha fundisho Kwa wanadamu kuwa hakika uzushi na dhana mbaya ni miongoni mwa mambo ambayo hayampendezi Mungu.

Kuna tukio la Zayd bin Harith ambapo yeye moja Kwa moja alitajwa katika Qur'an kwa Jina na Allah,kwahiyo Hilo sio jambo jipya wala geni

Shukrani.
 
Yani aya inasushwa kwa sababu ya aisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani unamchukuliaje aaisha radhwiyallahu anhaa? unadhani ni wema sepetu huyo sio? huyo ni mama wa waumini na mkweli mno binti wa mkweli mno, mwanachuoni mkubwa wa kike na mwenye elimu zaidi kuliko wanawake wote wa umma huu bila kuwavua wengine.
 
Na umejuaje mungu wa kwel ni Allah iv unafahamu kila din zaid ya 1000 wote hao wanaaminishwa mungu wa vitabu vyao ni wakwel ?
( وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ )

آل عمران (85) Aal-Imran

Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.
 
Hicho ni kitabu cha waarabu mkuu , Pia kuna cha wayahud , wahindu na wakristo na nk kila kiatbu kina igo zake , kipi ni sahihi na wewe kma wewe utajua vip huo ukwel
 
( وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ )

آل عمران (85) Aal-Imran

Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.
Na kwa nini umeacha tamaduni walizo ishi mababu zako tangu miaka bilioni iliyopiata ukafuata tamaduni za majambazi waliokuja kuwatesa babu zako na kuibia walicho nacho?
 
Na kwa nini umeacha tamaduni walizo ishi mababu zako tangu miaka bilioni iliyopiata ukafuata tamaduni za majambazi waliokuja kuwatesa babu zako na kuibia walicho nacho?
Hizo tamaduni za mababu zako zimeendikwa kitabu gani? Na wewe unafuata zipi?
 
Na kwa nini umeacha tamaduni walizo ishi mababu zako tangu miaka bilioni iliyopiata ukafuata tamaduni za majambazi waliokuja kuwatesa babu zako na kuibia walicho nacho?
Hatuwezi fahamiana
Mna nakuona ww apo umevaa ngozi kwa kujistiri utupu tu kma kweli unafuata tamaduni za babu zako
 
Hizo tamaduni za mababu zako zimeendikwa kitabu gani? Na wewe unafuata zipi?
Si ishi kufuata kitabu mkuu , ndege na wanyama wengne hawaishi kwa vitabu na wemekamilika kwa nini mim niishi kwa vitabu wakati najitambua?
 
Hatuwezi fahamiana
Mna nakuona ww apo umevaa ngozi kwa kujistiri utupu tu kma kweli unafuata tamaduni za babu zako
Kwani nani kakuambia kujisitiri ni wageni walitufundisha?
 
Back
Top Bottom