Ubaya wa kuwa na dhana mbaya kwa Binadamu wenzako

Leta hoja mkuu Acha kulia lia wanafki wa Dini za kijinga tunawajua
( وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ ۗ كَذَٰلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ )

الأنعام (108) Al-An'aam

Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Inakutosha iyo
 
Jamaa alianza dodoso alitaka kuingia inbox yangu (natania TU) huyu Akhy huenda Bado barobaro wa Kisunna
Hhhhhhhh m ni barobaro tu ila tupo katika njia ya kuweza kuuaga ubarobaro
 
aisee umeongea jambo la kweli kabisa,huko mitaani watu wanazushia watu wema mambo mabaya sana!!,,,wengine wanauia mpaka wapata ugonjwa wa kiharusi!!!....mimi mwenyewe nilishazushiwa mengi sana!!
Pole Sana mkuu

Ulipambana vipi na hiyo changamoto kama unaweza kufungua code,kama ni privacy usijali mkuu
 
Bila hata wewe kunisababisha kumtukana ila hyo Mungu ni mjinga na asie jiweza
Mkuu Sisi tumefundishwa tuseme maneno mazuri na salama.

Tafadhali Sana nakuomba tusifikie huko kwenye kumtukana Mungu.

Asante Kwa kuelewa
 
Pole Sana mkuu

Ulipambana vipi na hiyo changamoto kama unaweza kufungua code,kama ni privacy usijali mkuu
ah!!!.....mimi nina bahati niliwahi kusoma kitabu cha shujaa wa zamani wa china akiitwa "MAO TSE KIANG!!!" kitabu chenyewe kinaitwa "THE ART OF WAR".......kinaelezea vita nyingi sana kuanzia mtu mmojammoja,ikundi, na mataifa........kuna maneno flan yanasema hivi"THE SUPREME ART OF WAR IS TU SUBDUE THE ENEMY WITHOUT FIGHTING".......maneno haya hakusema MAO TSE KIANG,hapana aliyasem mchina mwingine akiitwa SUN TZU.....manake ni kwamba ,,,katkia sanaa ya kivita unaweza kumshinda adui bila kupigana.....yaani mpuuze,,,,,,mimi nina tabia moja,,,,aata kama dunia nzima ikaamini huo uongo,,,,lakini nafsi yangu na MUNGU wangu nikamini kwa dhati kwamba ni uongo,,huwa niapuuza......ujue hamna hakimu mzuri kama muda,,,,,,,,ukpuuza na ktulia,,,,kuna wakati jamii itaanza kujiuliza,,,,,huyu jamaa mbona hatetereki?????mwishoe wanagundua ulikua ni uongo,,
 
Asante mkuu kuna kitu Kikubwa Sana tumejifunza hapo

Na siku zote anayekutania akiona utani wake hauna athar kwako anakosa nguvu ya kuendelea na upuuzi wake.

Na kuna usemi mmoja unasema wakati mwingine inabidi uwape Wapumbavu nafasi wajadili upumbavu wao

Pamoja Sana mkuu
 
Si ishi kufuata kitabu mkuu , ndege na wanyama wengne hawaishi kwa vitabu na wemekamilika kwa nini mim niishi kwa vitabu wakati najitambua?
Kwhy wewe na ndege muna utashi sawa?? Binadamu amepewa utashi yaani akili ya kuchanganua Mambo ndio maana akapewa miongozo kulingana na Zama husika ili iwe guidance,,,,kuacha kufuata Muongozo Ni kutaka kuishi Kama mbuzi,,,yaani dume halioni aibu kumpanda mamake mbele ya wenzake
 
Kukataa uwepo wa Allah Ni ukafiri na kupinga kuwa Allah si Mungu wa kweli Ni ukafiri na kuamini kuwa Mungu anamwana Ni ukafiri mkubwa zaidi....
Dini za mapokeo zinawapa viburi na jeuri ilhali hakuna mwenye uhakika na usahihi wa hayo mnayoaminishwa
 
Ha ha aahaaaa jamaa anasimamia empty words...mwenzaketumemwambia Jana atupe kitabu Cha dini ya nature akavungavunga tu..
Hahaha hapo hata mm ningevurugwa nitakitoa wapi Kwa mfano

Mmetisha Sana aisee
 
na mimi ngoja nitafute familia moja nioe ndugu wawili
Hassan na husein ni watoto wa Ali bin abi twalibu na fatma bint rasul llah ,Othaman ameitwa dhu nurain nikutokana na kuwaowa bint wawili wa mtume kwa nyakati tofauti
 
Kwhy wewe na ndege muna utashi sawa?? Binadamu amepewa utashi yaani akili ya kuchanganua Mambo ndio maana akapewa miongozo kulingana na Zama husika ili iwe guidance,,,,kuacha kufuata Muongozo Ni kutaka kuishi Kama mbuzi,,,yaani dume halioni aibu kumpanda mamake mbele ya wenzake
Ila dume haliwezi kamwe kupandana madume kwa madume , kama ni mama tu kwa mujibu wa vitabu vyenu ata mama alipandana na mtoto na mtoto na ndugu yake kwa sababu chanzo chake ni kimoja, ila nyie wenye vitabu mwapandana madume kwa madume.
 
Quran ilikuwa inashushwa kutokana na matukio mbali mbali Kwa muda WA miaka 23, na ukiwa na akili ndogo utachukulia Tu ilishushwa Kwa AJILI ya Aisha.

Lakini dhumuni kubwa ni kukemea uzushi ambao unazushwa na wanadamu katika Maisha Yao ya kila siku,kwahiyo Kwa Aisha (r.a) ilikuwa ndio kilele cha fundisho Kwa wanadamu kuwa hakika uzushi na dhana mbaya ni miongoni mwa mambo ambayo hayampendezi Mungu.

Kuna tukio la Zayd bin Harith ambapo yeye moja Kwa moja alitajwa katika Qur'an kwa Jina na Allah,kwahiyo Hilo sio jambo jipya wala geni

Shukrani.
  • Muhammad kuna mda akibanwa anatunga verse kujitete au kutete wake zake Hii issue ya Mtoto Aisha kuchepuka ilimtesa sana Muhammad , mpaka akaja na sheria kali kwamba ushahidi wa mtu mmoja kwenye ugoni haukubaliki , akasema wanatakiwa wawe wa 4 na wote waone machine ikiingia
    • Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 , Ukimfumania mke, Muhammad anasema waombe waendelee ukatafute mashahidi wafike wa4 😂 🤣
  • Kwingine alibanwa kaiba nguo ya ndani kutoka kwenye ngawira , verse ikaja Muhammad hajaiba , embu fikiria wafuasi wake wa karibu kabisa wanamtuhumu mtume wao , NA BADO ALLAH HAKUTAJA ALIE IBA?!
    • Koran 3:161. Haisihi kuwa Nabii yeyote kukhuni katika ngawira kama walivyo eneza kwa uzushi wanaafiki waongo.... Tafsir al-Jalalayn 3:161 When some red velvet cloth went missing on the Day of Badr and some people began to say ‘Perhaps the Prophet took it.....
 
Ila dume haliwezi kamwe kupandana madume kwa madume , kama ni mama tu kwa mujibu wa vitabu vyenu ata mama alipandana na mtoto na mtoto na ndugu yake kwa sababu chanzo chake ni kimoja, ila nyie wenye vitabu mwapandana madume kwa madume.
Sawa tunakushukuru kwa mchango wako baki na msimamo wako
 
  • Muhammad kuna mda akibanwa anatunga verse kujitete au kutete wake zake Hii issue ya Mtoto Aisha kuchepuka ilimtesa sana Muhammad , mpaka akaja na sheria kali kwamba ushahidi wa mtu mmoja kwenye ugoni haukubaliki , akasema wanatakiwa wawe wa 4 na wote waone machine ikiingia
    • Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 , Ukimfumania mke, Muhammad anasema waombe waendelee ukatafute mashahidi wafike wa4 😂 🤣
  • Kwingine alibanwa kaiba nguo ya ndani kutoka kwenye ngawira , verse ikaja Muhammad hajaiba , embu fikiria wafuasi wake wa karibu kabisa wanamtuhumu mtume wao , NA BADO ALLAH HAKUTAJA ALIE IBA?!
    • Koran 3:161. Haisihi kuwa Nabii yeyote kukhuni katika ngawira kama walivyo eneza kwa uzushi wanaafiki waongo.... Tafsir al-Jalalayn 3:161 When some red velvet cloth went missing on the Day of Badr and some people began to say ‘Perhaps the Prophet took it.....
Kwhy hapo kwenu Kuna mahakama inayopokea ushahidi wa mtu mmoja,,,akili Hizi hivi huwa mnapeleka wapi
 
Back
Top Bottom