We ni Mtanganyika wa ajabu kweli.Hakuna nchi inayoitwa Tanganyika , kutaja nchi iliyokufa na kuoza ni utovu wa nidhamu, Zanzibar ni nchi kamili ni suala la muda tu watu wataheshimiana
Vitukuu mazuzu.Nafikiri wewe ni kitukuu cha historia, fungamano la nchi na nchi ni kubwa sana kwako kwa hivyo usijichoshe badala yake jifunze mafungamano madogo madogo kama ya mtu mke na mtu mume ambao wameamua kuishi kinyumba basi. Suala la Muungano walishamaliza Mwalimu Nyerere na Sheikh Abeid Karume, vitukuu mnapaswa kuuenzi tu!
Vitukuu mazuzu.
Muungano ni useless kwa pande zote mbili
Nitajie faida za muungano hasa kiuchumiKuwa mzalendo wewe.
Nitajie faida za muungano hasa kiuchumi
Mkata kwao ni mtumwa.Hakuna nchi inayoitwa Tanganyika , kutaja nchi iliyokufa na kuoza ni utovu wa nidhamu, Zanzibar ni nchi kamili ni suala la muda tu watu wataheshimiana
Taja faida za muungano hasa kiuchumi, usikwepe swali hili.Nasemaje, kuwa mzalendo! Umaskini wetu hauhusiani na Muungano wetu, usitumie hiyo hoja kisingizio.
Hapo ndipo ile katiba (rasimu) ya Mwananchi inapotakiwa...Mkata kwao ni mtumwa.
Kwanini watu mnaliogopa sana jina la Tanganyika,
Ni ujinga kukataa Tanzania bara isiitwe Tanganyika.
Taja faida za muungano hasa kiuchumi, usikwepe swali hili.
Uzalendo ni kuweka maslahi ya Taifa mbele hasa kiuchumi
Its too late leo kudai kwanini babu yako alimrubuni na kumuoa bibi yako ilihali wewe tayari ni mwanafamilia wa unayemlaumu.. Huwezi kuvunja ndoa uzeeni, whether ni use less au use more ila ndo basi tena... na Technic aliyoitumia mzee jiwe basi amekua Genius kuzidi mwalimu so Muungano mbele kwa mbele, asiyeridhika atafute nchi nyingine ahamie huko!Vitukuu mazuzu.
Muungano ni useless kwa pande zote mbili