ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,346
- 1,819
Sisi upinzani huku Zanzibar kampeni yetu nikuwatetea mashehe wetu waliowekwa ndani huu ni mwaka 8
Mashekhe au Magaidi wa Uamsho!
Sisi upinzani huku Zanzibar kampeni yetu nikuwatetea mashehe wetu waliowekwa ndani huu ni mwaka 8
So what , ukiwakuta ?Wazanzibar ndio watu gani?
Hivi ukienda mbeya hukuti mpemba?
Ukienda vikindu humkuti mtumbatu?
Kama ni magaidi mbona mpaka Leo hawaja wahukumu wale wamewakamata kwa kuitaka Zanzibar yao ijikombowe tuuMashekhe au Magaidi wa Uamsho!
Hata Kenya wapo wamasai, wachaga, lakini wenye haki ya Kenya ni wa-Kenya! Ndivyo?Zanzibar kuna wamasai,wasukuma,wanyamwezi na Kanisa kongwe la Anglican
Kabisa nimeongea na wazanzibar ,wengi hawautaki kabisa!!! Na kiukweli wananyonywa sana na MACCM bara!!Wanatengeneza vitambi kwa gharama za wengine
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Jamuhuri ya watu wa Zanzibar kwanza
Muungano baadae,
Kama ni magaidi mbona mpaka Leo hawaja wahukumu wale wamewakamata kwa kuitaka Zanzibar yao ijikombowe tuu
Katika vitu ambavyo magufuli atafanya nimsifu milele ni kufanya kama india walivyofanya pale kashmir. Hiki kimkoa kina kelele sana. Wamalizane nacho.kwanzaWakati Tanganyika inafanya figisufigisu ya kile ambacho kwa sasa tunakiita muungano, Nchi ya Tanganyika na Zanzibar zote zilikuwa huru na kila moja na mamlaka yake kamili ndani ya mipaka yake.
Muda mfupi tu baada ya Muungano taratibu tanganyika ikajiona sasa ni Baba mwenye nyumba kuanza kuweka sheria zilizoikandamiza na kuidumaza Zanziba katika kila hali na katika kila nyanja.
Balaa kubwa zaidi lilotengenezwa na Tanganyika ni kuunganisha vyama vya 8siasa, TANU na ASP. Hapa ndio wazanzibari walipowekewa goti la shingo sawa na George Floyd kule US. Kwa hakika Tanganyika kupitia njia hii imejifanya kuwa yeye ndie BABA wa Zanzibar na Wazanzibari.Wakati Tanganyika inafanya figisufigisu ya kile ambacho kwa sasa tunakiita muungano, Nchi ya Tanganyika na Zanzibar zote zilikuwa huru na kila moja na mamlaka yake kamili ndani ya mipaka yake.
Muda mfupi tu baada ya Muungano taratibu tanganyika ikajiona sasa ni Baba mwenye nyumba kuanza kuweka sheria zilizoikandamiza na kuidumaza Zanziba katika kila hali na katika kila nyanja.
Balaa kubwa zaidi lilotengenezwa na Tanganyika ni kuunganisha vyama vya siasa, TANU na ASP. Hapa ndio wazanzibari walipowekewa goti la shingo sawa na George Floyd kule US. Kwa hakika Tanganyika kupitia njia hii imejifanya kuwa yeye ndie BABA wa Zanzibar na Wazanzibari.
wazanzibari hawawezi tena kubreath. Hawana tena Haki ya kuamua nn wanataka bila ya BABA lao kuamua.
Tanganyika ambayo ni nchi sawa na zanzibar imejipa mamlaka na uwezo wa kuamua nani awaongeze wazanzibari.
Wazanzibari MaCCM amkeni kutoka usingizini mrejeshe heshima ya nchi yenu Watanganyika wanaimaliza!

Wakati Tanganyika inafanya figisufigisu ya kile ambacho kwa sasa tunakiita muungano, Nchi ya Tanganyika na Zanzibar zote zilikuwa huru na kila moja na mamlaka yake kamili ndani ya mipaka yake.