Ubeberu wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni wa kiwango kisichostahamilika

Ka
Hakuna nchi inayoitwa Tanganyika , kutaja nchi iliyokufa na kuoza ni utovu wa nidhamu, Zanzibar ni nchi kamili ni suala la muda tu watu wataheshimiana
Kama Tanganyika ilikufa Zanzibar nayo ilikuwa ife Tanzania izaliwe kama kweli hizo zilikuwa nchi mbili huru vinginevyo nchi bado ni mbili yaani Zanzibar na Tanganyika iliyobadili jina na kuitwa Tanzania for convenience tu. Zimbabwe ilikuwa Rhodesia na Zambia pia ilikuwa Rhodesia. Senegal na Gambia ziliungana na kuitwa Senegambia lakina walipopeana talaka wakarudia majina ya awali hadi leo. Tanzania tukipeana talaka wa bara tutaitwaje kama Tanganyika ilikufa na kuzikwa miaka karibu 60 iliyopita?
 
Hapo ndipo ile katiba (rasimu) ya Mwananchi inapotakiwa...
Serikali tatu ndio ufumbuzi na kuaminiana kutaanzia hapo...
Vinginevyo tunafuga bomu ambalo halitatuacha salama
Tunataka Tanganyika na TANU irudi. Ccm imeshatufanya hamna vya kutosha.
 
Zanzibari msikubali kutawaliwa na tanganyika,haiwezekani mchaguliwe raisi na watanganyika ,msikubali
Mbona wameshawekewa Rais kwa lazima awamu na awamu.

Kama Mwinyi mzee , mzaliwa wa Pwani aliweza kuwa Rais, haishindikani siku moja Gwajima kuongoza huo mkoa.
 
RAIS WA ZANZIBAR SIYO RAIS WA MUUNGANO. KWA NINI WAZANZIBAR WENYEWE WASIMCHAGUE WANAYEMTAKA?
Wazanzibar ndio watu gani?
Hivi ukienda mbeya hukuti mpemba?
Ukienda vikindu humkuti mtumbatu?
 
RAIS WA ZANZIBAR SIYO RAIS WA MUUNGANO. KWA NINI WAZANZIBAR WENYEWE WASIMCHAGUE WANAYEMTAKA?
Wazanzibar ndio watu gani?
Hivi ukienda mbeya hukuti mpemba?
Ukienda vikindu humkuti mtumbatu?
 
Wazanzibar ndio watu gani?
Hivi ukienda mbeya hukuti mpemba?
Ukienda vikindu humkuti mtumbatu?
KWA HIYO RAIS WA ZANZIBAR NI RAIS HADI MBEYA? MBEYA WAPO HADI WATU WA MALAWI NA ZAMBIA. ULIWAHI KUONA WAMALAWI NA WAZAMBIA WANAMCHAGUA MGOMBEA WA URAIS TANZANIA? RAIS WA ZANZIBAR MIPAKA YAKE NI ZANZIBAR TU, ENEO LAKE LA UTAWALA HALIVUKI BAHARI. SASA INAKUWAJE WATU WA NGÁMBO YA BAHARI WAWACHAGULIE MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR? KWANZA HUKU TANGANYIKA HATA KURA HATUMPIGII MGOMBEA WA ZANZIBAR. SASA INAKUWAJE TUWACHAGULIE MGOMBEA?
 
Mpuuzi.
 
Mkata kwao ni mtumwa.

Kwanini watu mnaliogopa sana jina la Tanganyika,
Ni ujinga kukataa Tanzania bara isiitwe Tanganyika.
Hatujakataa sisi , sisi tumekuta wameipoteza tanganyika hao wazee wetu, usitulaumu sisi , Zanzibar ipo , tanganyika iko wapi ?
 
Hao kila siku nawaambia mbaya wao huko zanzibar ni CCM lakini hawasikii.
Kabla ya kuomba zanzibar HURU . WAITOE KWANZA CCM
mkuu shoka haikati mti mpaka nduguye mti aingie kwa shoka hapo tena msitu utaisha [emoji24][emoji24]

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, mpaka leo Zanzibar ipo ebu tuonyeshe kipi kinaitambulisha Tanganyika ?
 
Kunasiku NEC itampitisha Charles John kuwa mgombea wa CCM Visiwani na atapita.
Siku hizo zipo karibu sana. Baada ya hapo tutaanza kupunguza idadi ya miskiti kule visiwani.
Haiwezekan kuwaacha 90% wawe muslims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…