Ubeberu wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni wa kiwango kisichostahamilika

Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Jamuhuri ya watu wa Zanzibar kwanza

Muungano baadae,
 
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Zanzibar kwanza
Jamuhuri ya watu wa Zanzibar kwanza

Muungano baadae,

Tumewachagulia Rais, kuweni na shukrani.
 
Kama ni magaidi mbona mpaka Leo hawaja wahukumu wale wamewakamata kwa kuitaka Zanzibar yao ijikombowe tuu

Kesi za ugaidi sheria ni ipi, hukumu ya uhaini si unaijua!
 
Mashekhe au Magaidi wa Uamsho!
Kichwa chako kimetawaliwa na Ujinga na upofu wa ubaguzi wa kidini. Huna uwezo wa kufikiria ubinadamu kwa binadam mwengine asiyekuwa dini moja na wewe.
 
Katika vitu ambavyo magufuli atafanya nimsifu milele ni kufanya kama india walivyofanya pale kashmir. Hiki kimkoa kina kelele sana. Wamalizane nacho.kwanza
 

Wewe hujitambui na nafikiri wazanzibari wanaojua nn maana ya Muungano wametulia. Hivi unajua Dar hasa Kigamboni wanaoishi ni Wazanzibar kwa asilimia 60% walah nakuambia leo hii Muungano ukivunjika wazanzibari walioko Bara wakiamua kurudi watapindua nchi na kuichukua Mchana kweupe. Kwa hiyo ninyi wazanzibari mlioko Zanzibar hamlijui hilo amkeni achaneni na issue za kudai Muungano njooni huku Mtwara Tabora kulima mahindi na Mikorosho

Na isitoshe sisi Wabara tunaliwa zaidi kwa sababu Mtu wa bara hawezi kufanya kazi katika serikali ya mapinduzi lakini Mzanzibar anaruhusiwa kufanya kazi Serikali ya Tanganyika/Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…