mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
kabisa, anaweza akawa na hizo pesa za nauli ila kwenye mambo mengine hafaihufaulu Kwa kuigiza
Joannah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa, anaweza akawa na hizo pesa za nauli ila kwenye mambo mengine hafaihufaulu Kwa kuigiza
Hapo Sasa ni kuomba Neema ya Mungu tuKwenye test hapo kuna kuingizana chaka. Watu wengine hufaulu Kwa kuigiza kisha kwenye Ndoa huonyesha Tabia zao halisi
💯🤝Wanawake ndo wanaongoza kwa ubinafsi
Eti usinywe bia na Mama J kisa? [emoji16][emoji16][emoji16]Kwaiyo tusinywe bia kisa wake zetu hawajanywa soda mwezi mzima[emoji4]
Mtoa mada Kaandika kisiasa Sana[emoji4][emoji817][emoji1666]
Wanaume kwenye ndoa au mahusiano huwa tunajitoa sana ila wanawake ndio wanaongoza kwa ubinafsi